WADAU NIMERUDI NA PICHA HII YA MIKONOZZZZZZZZZZZZZZZZZZ!
STELINGI HAUWAWI!
SAMAHANI KWA KUWA KIMYA KWA TAKRIBAN WIKI MOJA KUTOKANA NA MATATIZO YA KIUFUNDI AMBAYO WENGI MNAYAFAHAMU. PIA EMAIL ADDRESS YANGU YA issamichuzi@gmail.com NIMEISHAIGOMBOA HIVYO LIBENEKE KAMA KAWA NA MAMBO MSWANO.
NASHUKURU WADAU KWA MOYO MLIONIONESHA KWA KUIJALI GLOBU YETU HII AMBAPO NAAHIDI KULETA MAVITUZZZ KAMA KAWA. MASAA 24 YALOPITA NILIKUWA KIMYA KUTOKANA NA KUREKEBISHA MAMBO NA KUREJEA KWENYE GLOBU YENU HII.
ILE YA isamichuzi.blogspot.com (ya 's' moja) itakuwepo kwa muda ila nitaiunganisha humu muda si mrefu.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 20 mpaka sasa

  1. Yo Bro Michuzi
    Nimeamini kweli Stelingi Hauwawi na Akiuwawa Ni Mwisho wa Cinema.
    Endeleza libeneke ili hao mapopo waliozoweya kutapeli watu waone Wabongo ndio mwisho wao.

    ReplyDelete
  2. mmetakata watoto wa sumari simchezo mambo ya nakaaya nini

    ReplyDelete
  3. Kaka tunashukuru sana!! Sasa mikono imefanya nini kaka?? Au unamaanisha sisi hatuna mikono!!! hata sasa tunayo mikono sio wewe tu. Ahsante.

    ReplyDelete
  4. Kweli hawa wa-Nigeria hawana maana hata kidogo, wametukosesha zawadi ya mtu wa 1,000,000.

    Kweli Starling hauwawi

    ReplyDelete
  5. Pole sana Bro Michuzi.uyu nancy Sumari kafanya nini jamani mbona kaharibika,sijui ndo kukua maana uyu mtoto alikuwa bomba sana,nilikuwa namuona kama malaika vile,sasa inakuwaje,

    ReplyDelete
  6. Michu vipi mtu wangu?unajua ni kama vile cocaine ukianza inakuwa ngumu kuacha, sasa tulivoona picha za mafuvu haziondoki tukasema usijekuta "wamekumuvuzisha" kuwa mmoja kati ya hao mafuvuz, au nikasema isijekuwa camera imeisha petrol!kama vipi sema wadau tukuwezeshe hata kwa mia mia tuendelee kuwa hewani mtu wangu, anyway najua na wewe unavopenda udaku hata wewe umetumiss.gud job brother.Michu shaka sali yupo Tz can you get his pictures pliz and who brought him bongo?mwenyewe au prezidaa?check this out for us pliz.Johnson.

    ReplyDelete
  7. HONGERA SANA KAKA ISSA WA MICHUZI TUNASHUKU NA KUKUPONGEZA KWA NGUVU ZOTE KAKA, ENDELEZA LIBENEKE KAMA KAWAIDA, HII NI BLOG INAYOPENDWA SANA SO NINGEKUSHAURI UWAPELEKEE TAARIFA KINA DA CHEMI NA MJENGWA NA DOGO MICHUZI JR KUWA UMERUDI KWENYE BLOG YENYE DOUBLE ''S'' YAANI http://issamichuzi.blogspot.com
    ILI WAWEZE KUTANGAZA KWENYE BLOG ZAO KAMA ULIVYOFANYA WAKATI UMEANZISHA ILE BLOG NYINGINE, ASANTE SANA MKUU
    WILLY

    ReplyDelete
  8. That is true, Sterling wa kushika za nyeti hauawi!

    ReplyDelete
  9. Kweli hauwawi akiuwawa itakuwa picha ya Kihindi.Karibu tena.

    ReplyDelete
  10. michu tutaftie kilichojiri mahojiano ya jk na shaka.ila jk kwa kigugumizi!sooo

    ReplyDelete
  11. Kaka mbona suruali yako kama imetunatuna hivi hapo down ya chini!?!
    Au hiyo mikonozzzz ya hao wakina dada ndio imepitisha chaji humo mabegani, kisha ikaenda "kumuvuzisha" hiyo suruali!?!
    Tehe! teh! tee!

    ReplyDelete
  12. Wewe michuzi huna adabu kabisa yaani ndio umeamua kuwagusa hao wadada maziwa kwa kupitisha vidole vyako makwapani!

    kaazi kweli kweli

    ReplyDelete
  13. Wadau Lilly na Franco wanasema acha wachongaji wachonge, hata ufanyeje hawakosi la kusema! Mikono yako uliyopewa na Mwenyezi Mungu itumie ...bora usivunje sheria!!Mwisho watu watakuzushia una ulemavu wa mikono buree!'Kule kwetu Bagamoyo tuna msemo'... unasemaje tena???

    ReplyDelete
  14. Bro Michu, Pole sana na mambo ya mtandao ndio maisha hayo...Pongezi kwa ujasiri ulioufanya kuweza kurudi "juu ya mstari" na kufanikiwa kutuletea "my marafiki na washabiki wako" nyeti na motomoto nyingi za nyumbani....Alluta Continua Michu, mwendo mdundo kaka!!!!

    ReplyDelete
  15. Bro Michu nakuona maana nilishazoea kupata habri sasa kila nikiingia naona mafuvu tu nikasema labda umeishatekwa nyarakumbe upo pole na matatizo ya kiufundi.

    Michu hiyo picha safi wacha waseme tu mimi nakushauri mikono itumie ipasavyo kwani hufanyi jambo baya lolote naona uko na Nakaaya na kipenzi changu Nancy hongera.wasalimie sana.

    Naandika script moja inamhusu photojournalism na pilika pilika za kupata habari nafikiri utafaa sana kuwa main actor na Nancy ananafasi yake

    ReplyDelete
  16. Bro Michu, itabidi tuunde tume kuchunguza hicho kilichotuna karibu na sehem ya uzazi!!!!!!!!

    ReplyDelete
  17. samahanini nauliza jamani. hawa ni MACELEBRITY? na je wanajishugulisha na mambo gani hasa hawa watoto wa Sumari? sina nia mbaya nao, ila nadhani wajitahidi sana katika maisha. maana umaarufu usije ukawalewesha, baada ya muda mambo yatawawia magumu. Maana kwanza ni wadogo wanastahili kujiendeleza kielimu ili wa maintain status yao, otherwise sina uhakika kama umaarufu utawasaidia chochote hasa hapo Bongo.
    Samahani kama nimewauzi kwa njia moja ama nyingine, Ni maoni yangu tu haya na kila mmoja ana uhuru wa kusema. Kila la kheri warembo

    ReplyDelete
  18. MWESHIMIWA ISSA..ANGALIA..ULIPOTEA "..GHAFLA.." SIO UNATOA HABARI NA PICHA ZA WENYEWE.."..HOVYOHOVYO TU WEWE !!!.." WATU WASHAMALIZA SHUGHULI SASA RUKSA ENDELEA...

    ReplyDelete
  19. DADA MWENYE KOFIA NYEUPE HONGERA MIMI NAKUONA KWENYE MTANDAO TU ONE DAY NITAKUONA LAIV I LUV YA STYLE GAL..MABINTI WA "..SUMARI.." MIE "..MSUMARI.." USHANJERUHI MOYONI, NTAENDA KUMUONA DAKTARI..

    ReplyDelete
  20. these gals are gorgeous well done naakaya have just been listening to ya malaika u really sound like one well done love.im just havin it here!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...