makamu wa rais dk mohamed ali shein akitambulishwa kwa meneja wa tawi la vijana wa benki ya crdb mh. sekou ture na bosi wa benki hiyo dk. charles kimei alipowasili kulifungua jioni ya leo mtaa wa lumumba

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. hongera Toure kwa kuukwaa umeneja. nakutakia kila la heri ktk kazi zako- meti wako majeshi (Mgulani)

    ReplyDelete
  2. CRDB nanyi muwe aggressive kama Kenya Commercial Bank kwa kujitanua hata nje ya nchi. Msibweteke na mafanikio mlopata bongo!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...