masanja mkandamkizaji (shoto) ambaye ni stelingi wa kipindi cha ze comedy akiwa na mwanafalsafa. huyu mdau na wenzie wameweza si tu kuleta mageuzi ya uigizaji kwenye luninga bali pia kwa muda mfupi tu wameweza kuwafunika mastaa wengine wa vichekesho katika tv kama vile bambo, mzee smolu na wengineo kwa ubunifu wa hali ya juu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 15 mpaka sasa

  1. Kaka Michuzi eeh,
    Jitahidi sana ndugu yangu japo tuwe tunapata mazungumzo ya hawa wasanii WAKANDAMIZAJI.Nakumbuka wakati niko nyumbani huko walikandamiza ile ya kondakta kuomba nauli na kujibiwa iko mbali wakati simu ikiita mtu anatoa palepale hata kama iko mbali,pia wakakandamiza abiria anayekaa karibu na dreva kumwambia konda kwa sauti na hofu kuu kuwa shusha kituo fulani wakati anaesimamisha gari ni dreva aliyekaa nae karibu. Nilicheka wiki tatu mfululizo na ukifuatilia ni kweli wanachokisema.
    Ohh hawa jamaa ni wasanii hatari.Big up.
    Wa Majita Bugunda

    ReplyDelete
  2. mwambie huyo dogo akachane nywele, umaarufu unakuja na mambo mengi sio mzaha mzaha tu

    ReplyDelete
  3. hello bro michu!

    Unajua huyu masanja ni bonge la handsome kwa kweli mimi nimemzimia sema tu we have very difference of age!!!! lakini watu wa ukerewe wanasema age aint nothing but a number! je ni kweli kwa bongo!!!! but i wanna tell ze comedy Keep it up!

    ReplyDelete
  4. zecomedy mko juu! hakuna apingaye hili.ila masanja nakushauri... hiyo mibutu kichwani si wazo zuri.karama ulonayo inajiuza! huna haja ya kujiwekea madokodoko...jijengee heshima! kuwa na nywele fup- natural. pplz achana na idea za kishoga!

    ReplyDelete
  5. kaka misupu kwani haiwekani hivi vipindi kama hicho ze comedy tukaviona ambao hatupo home? yaani hata tv moja ya home hakuna tunashinda hata kuweka radio yoyote y a home? kama kuna mtu anaona tv yoyote ya home bure aseme hapa au radio yoyote

    ReplyDelete
  6. tunataka na sie ambao hatupo home tuwaone hao jamaa au tuu tusikie sauti zao, wekeni basi video zao hata kwenye eastafricatube au youtube basi wajulikane kimataifa sio bongo tuuu

    ReplyDelete
  7. Kwako Wa Majita bugunda.

    Unaongeleaga story za Bongo ambazo zinatokea kila siku, yet unasema "Nilipokuwa nyumbani", mi nadhani wewe upo huko huko bongo

    ReplyDelete
  8. dogo huyu wa "kipangwa" anatisha nasema anatisha kwakuwa hata jamaa zetu/zake wa kule Iringa na mbeya alisha wananga kwa kuzaana ovyo hasa wakati wa baridi na ulanzi mwinngi ni vema kwanisanaa haichagui keep it up MKANDAMIZAJI ila ile ya kuwaiga MSONDO MUSIC BAND mlifunika sana

    ReplyDelete
  9. Hadithi tamu tamu -
    http://hadithizachiku.blogspot.com/

    ReplyDelete
  10. Binamu show me some love umetoka ndugu yangu! hee masanja na wewe uko juu kabisa

    ReplyDelete
  11. Babake hadithi za chiku si mchezo, nimezikubali!!

    ReplyDelete
  12. sasa hiii mutu ya tizedi hapana iko watch mimi tena? Mimi iko na muzee Ojwangi na mama kayaii

    ReplyDelete
  13. Nimebahatisha kupata VCD ya hawa jamaa. Mkandamizaji anaongea anaeleweka vizuri, lakini yule jamaa mwingine akiongea anapayuka sana kiasi ambacho sauti yake haisikiki vizuri. Nashauri wangefuatilia ubora wa sauti katika kurekodi.

    ReplyDelete
  14. A striped shirt ambayo haina hata kijani inavaliwa na wifes beater ya kijani?, what a combination of colors?, Jamani wasanii wa bongo jifunzeni kuvaa, hapo bila hiyo vesti ya kijani ungekuwa umetoka mchicha kinoma

    ReplyDelete
  15. hapa abidjan ivory coast mbona channel 5 nauona kwenye dish?jaribuni na huko mtapata,ni kila alhamisi sa moja jioni tz time.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...