
masanja mkandamkizaji (shoto) ambaye ni stelingi wa kipindi cha ze comedy akiwa na mwanafalsafa. huyu mdau na wenzie wameweza si tu kuleta mageuzi ya uigizaji kwenye luninga bali pia kwa muda mfupi tu wameweza kuwafunika mastaa wengine wa vichekesho katika tv kama vile bambo, mzee smolu na wengineo kwa ubunifu wa hali ya juu


Kaka Michuzi eeh,
ReplyDeleteJitahidi sana ndugu yangu japo tuwe tunapata mazungumzo ya hawa wasanii WAKANDAMIZAJI.Nakumbuka wakati niko nyumbani huko walikandamiza ile ya kondakta kuomba nauli na kujibiwa iko mbali wakati simu ikiita mtu anatoa palepale hata kama iko mbali,pia wakakandamiza abiria anayekaa karibu na dreva kumwambia konda kwa sauti na hofu kuu kuwa shusha kituo fulani wakati anaesimamisha gari ni dreva aliyekaa nae karibu. Nilicheka wiki tatu mfululizo na ukifuatilia ni kweli wanachokisema.
Ohh hawa jamaa ni wasanii hatari.Big up.
Wa Majita Bugunda
mwambie huyo dogo akachane nywele, umaarufu unakuja na mambo mengi sio mzaha mzaha tu
ReplyDeletehello bro michu!
ReplyDeleteUnajua huyu masanja ni bonge la handsome kwa kweli mimi nimemzimia sema tu we have very difference of age!!!! lakini watu wa ukerewe wanasema age aint nothing but a number! je ni kweli kwa bongo!!!! but i wanna tell ze comedy Keep it up!
zecomedy mko juu! hakuna apingaye hili.ila masanja nakushauri... hiyo mibutu kichwani si wazo zuri.karama ulonayo inajiuza! huna haja ya kujiwekea madokodoko...jijengee heshima! kuwa na nywele fup- natural. pplz achana na idea za kishoga!
ReplyDeletekaka misupu kwani haiwekani hivi vipindi kama hicho ze comedy tukaviona ambao hatupo home? yaani hata tv moja ya home hakuna tunashinda hata kuweka radio yoyote y a home? kama kuna mtu anaona tv yoyote ya home bure aseme hapa au radio yoyote
ReplyDeletetunataka na sie ambao hatupo home tuwaone hao jamaa au tuu tusikie sauti zao, wekeni basi video zao hata kwenye eastafricatube au youtube basi wajulikane kimataifa sio bongo tuuu
ReplyDeleteKwako Wa Majita bugunda.
ReplyDeleteUnaongeleaga story za Bongo ambazo zinatokea kila siku, yet unasema "Nilipokuwa nyumbani", mi nadhani wewe upo huko huko bongo
dogo huyu wa "kipangwa" anatisha nasema anatisha kwakuwa hata jamaa zetu/zake wa kule Iringa na mbeya alisha wananga kwa kuzaana ovyo hasa wakati wa baridi na ulanzi mwinngi ni vema kwanisanaa haichagui keep it up MKANDAMIZAJI ila ile ya kuwaiga MSONDO MUSIC BAND mlifunika sana
ReplyDeleteHadithi tamu tamu -
ReplyDeletehttp://hadithizachiku.blogspot.com/
Binamu show me some love umetoka ndugu yangu! hee masanja na wewe uko juu kabisa
ReplyDeleteBabake hadithi za chiku si mchezo, nimezikubali!!
ReplyDeletesasa hiii mutu ya tizedi hapana iko watch mimi tena? Mimi iko na muzee Ojwangi na mama kayaii
ReplyDeleteNimebahatisha kupata VCD ya hawa jamaa. Mkandamizaji anaongea anaeleweka vizuri, lakini yule jamaa mwingine akiongea anapayuka sana kiasi ambacho sauti yake haisikiki vizuri. Nashauri wangefuatilia ubora wa sauti katika kurekodi.
ReplyDeleteA striped shirt ambayo haina hata kijani inavaliwa na wifes beater ya kijani?, what a combination of colors?, Jamani wasanii wa bongo jifunzeni kuvaa, hapo bila hiyo vesti ya kijani ungekuwa umetoka mchicha kinoma
ReplyDeletehapa abidjan ivory coast mbona channel 5 nauona kwenye dish?jaribuni na huko mtapata,ni kila alhamisi sa moja jioni tz time.
ReplyDelete