anaitwa mwajuma keki. kazi yake ndo hiyo katika kuendeleza ujasiriamali kwa kina mama.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. nakwambiaje wabongo si mchezo kwenye maswala hayo(keep it up)

    ReplyDelete
  2. yes mwajuma...kazi nzuri mimi pia ni mtaalam wa keki naomba nikupe ushauri jitahidi kupata design nyingi tofauti naona hii picha ni ile ile ila wabadili colour tu..pia punguza kuweka artficials nyingi kwenye cake hasa ribbons..pata time uangalie zaidi websites na collections mbalimbali zitakusaidia kuboresha ..hongera unajitahidi.

    ReplyDelete
  3. Bongo unaweza kukuta keki inapendeza kwa macho lakini ladha yake mbaya au iko kama ugali ndani!

    ReplyDelete
  4. mwajuma nakuaminia kwa mambo yako ya keki,kweli mwanamke kujishughulisha ili kujikimu kimaisha,jitahidi sasa ufungue ofisi yako ili ujitangaze zaidi na zaidi kibiashara.hongera bro michuzi kwa kazi kubwa ya kuweka mambo hadharani inawasaidia wengi sana,hureeeeee!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...