Home
Unlabelled
redds
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Jamani kwani ni lazima kuonyesha kitovu au sehemu ya tumbo?
ReplyDeleteKaka michuzi siku hizi umeamua kutuwekea 'pilau' live!!???? Sasa unajua hio ni hatari sana hao wakina dada wako uchi huo ni ukweli usio fichika. Sasa kaka hiyo ni hatari kwa vizazi vijavyo. Ni hayo tu kaka.
ReplyDeleteMichuzi, Ni bora uweke tangazo kwenye blogu yako ya muda - http://www.isamichuzi.blogspot.com/
ReplyDeleteIli watu waelewe kinachoendelea kwani watu wengi wameacha kucheki huku kwenye hii origino, mimi mwenyewe nimebahatika tu kuona tangazo kwenye blogu ya mjengwa.
Kaka michuzi tueleze vizuri hapo lakini sio OHIO!!??? Kaka kama ni wateja wako tuambie tujue aiwezekani kabisa ukatuwekea picha za machangu doa wa ohio.Tueleze ukweli wa hizo picha!!!!!.
ReplyDeleteaisee huyo dada wa kwanza upande wa kushoto amenibamba.Mdau siwezi pata namba yake ya simu??? japo namba tatu za mwanzo tu. Nyingine nitabahatisha!!!!
ReplyDeleteMichuzi this is now boring !!!!!!!!!!!!!! Tulete picha zingine haya mambo ya walembo tumechoka nayo sasa !
ReplyDelete..ISSA SAFI SANA MAALIM..VUNJA MIFUPA KAMA BADO MENO IKO..HAWA AKINA " SHANIKWA " WAMEPENDEZA SAANA..Ghetto Luv.
ReplyDeleteBongo kwa watoto wa kike, we acha tu! Kwa kweli kwa tumejaaliwa na wenztu wa jirani wanatuonea wivu sana sana!
ReplyDeleteMungu atupe nini bwana!
unajua nini michu wangepiga kampeni ya madem kutembea uchi baada ya mda tungezoea na wala tusinge watamani tena na ukimwi ungepungua
ReplyDelete