shemeji yangu ssemwanga leo kaamua kufunga tela kuja nasi bongo...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 17 mpaka sasa

  1. Mh? Shemeji mwenyewe ana mvuto namna hii kaka utasalimika kweli mie simo! usije ukajifanya unasleep walk usiku ukajikuta chumbani kwa "shem karenga" hahaha

    ReplyDelete
  2. du haya mungu akupe nini tena kaka michuzi mashalaa wifi ametulia sanaaaaaa usipate kichwa sasa

    ReplyDelete
  3. hayawi hayawi yamekua, hatimae tumemuona, hongera michu sasa harusi lini?

    ReplyDelete
  4. Michuzi wewe kweli ni bwege wa mwisho.kumuanika hapa mkeo unategemea nini? Haya we shauri yako kuna mafisi humu kazi yao kufukuzia vya wenzao.....sasa wewe unawakabidhi mafisi bucha unategemea nini????hahaha wataanza kula mifupa kwanza kabla ya nyama....Angalia sana wewe na uact kama mtu mzima usiwe bwege.

    ReplyDelete
  5. Michuzi shemeji mwenyewe anaonekana mdogo sana kwako,je?hiyo ndo ndoa ya kwanza?au ndugu zetu waislamu ndo hivyo tena kufunga tela.Lakini magoli sana nipe nami mdogo wake au mpaka niwe na blog.

    ReplyDelete
  6. Wee michuzi unawaacha wenzio wanapayuka. mimi naona huyo ndio nanihii wako na shemejio ni huyo kijana. kana.

    ReplyDelete
  7. Harusi ya nini nyie wote wanga tu,michu usiwaalike hao wanga hao kumbuka ya wanigeria wala hakuna harusi we jilie vyako nasema wanga hao.

    ReplyDelete
  8. ululululululululululu, hoi hoi hoi hoi, tumemwonaa, hongera sana, wifi katulia ila angalia usiwashawishi wanaume wetu wa bongo waanze kufunga tera kwenda UG, Sisi pia tupo bomba michu.

    ReplyDelete
  9. MASHAALLAH!Lakini mbona kabeba passport ya Tanzania (ya kwako nini?) au macho yangu yamenidanganya leo kwa mara ya kwanza?

    ReplyDelete
  10. Duh, Jamaa Hapo Pembeni Linamezea Mate Kweli Kweli Mpaka Limeweka Shingo Upande!!...Inaonekana Ni Mzee Wavichenchedo!

    ReplyDelete
  11. kaka jamaa vipi hapo juu anasema alusi lini inamaana huu mzigo hujautwaa kaka kaka hujautwaa fanza haraka dua tunakuombee kaka!du!du!

    ReplyDelete
  12. Michuzi hehe ehe!
    Sisi wajanja kukuzidi men! huyu ni shemeji yako? ahaha..basi ngoja nikupashe
    Cheki picha ya juu mkeo kavaa nguo zipi, angalia "shemeji yako" kavaa nini? je kuna uwiano? shati jeupe, sweta jeusi na suruali ya pink, je wote wameamua kuvaa sawa? haya tena, picha ya juu shemeji yuko wapi au alitangulia kwenda airport, au ndo alipiga picha? hehehe.....
    Michuzi kama umeenda shule, sasa sis tumeenda school man hehe...
    Mke mzuri, maana na mie mke mtarajiwa ni mama nkwara pia....hehe

    ReplyDelete
  13. Jamani huyo mnayemuona mwanaume ndio shemeji huyo mwenye smile nzuri ndio bibi yake.

    Au hapo kwenye picha ni kaka na dada huoni walivyofanana.

    ReplyDelete
  14. Ni mzuri kwa huko bongo, ila kwa Uganda si chochote..Muweke mbele ya Wanyankole(Westerners)ndo utajua what I mean. Just a comment, Kaka Michu usimaindi

    ReplyDelete
  15. Asijekua anataka Green card tu huyu...Mbona kama mdogo sana....watch out my big brother

    ReplyDelete
  16. Kaka yangu utafilisika. Honeymoon unaenda na mashemeji? Ndio maana UGG very expensive....kondoo la austaralia hilo...teh te tehehhhhhhhh

    ReplyDelete
  17. Wanyankore wanasema bibi mwenye mwanya na fizi kubwa ndio mtamu! Huyo wa Michuzi ana fizi!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...