Home
Unlabelled
shem
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Mh? Shemeji mwenyewe ana mvuto namna hii kaka utasalimika kweli mie simo! usije ukajifanya unasleep walk usiku ukajikuta chumbani kwa "shem karenga" hahaha
ReplyDeletedu haya mungu akupe nini tena kaka michuzi mashalaa wifi ametulia sanaaaaaa usipate kichwa sasa
ReplyDeletehayawi hayawi yamekua, hatimae tumemuona, hongera michu sasa harusi lini?
ReplyDeleteMichuzi wewe kweli ni bwege wa mwisho.kumuanika hapa mkeo unategemea nini? Haya we shauri yako kuna mafisi humu kazi yao kufukuzia vya wenzao.....sasa wewe unawakabidhi mafisi bucha unategemea nini????hahaha wataanza kula mifupa kwanza kabla ya nyama....Angalia sana wewe na uact kama mtu mzima usiwe bwege.
ReplyDeleteMichuzi shemeji mwenyewe anaonekana mdogo sana kwako,je?hiyo ndo ndoa ya kwanza?au ndugu zetu waislamu ndo hivyo tena kufunga tela.Lakini magoli sana nipe nami mdogo wake au mpaka niwe na blog.
ReplyDeleteWee michuzi unawaacha wenzio wanapayuka. mimi naona huyo ndio nanihii wako na shemejio ni huyo kijana. kana.
ReplyDeleteHarusi ya nini nyie wote wanga tu,michu usiwaalike hao wanga hao kumbuka ya wanigeria wala hakuna harusi we jilie vyako nasema wanga hao.
ReplyDeleteululululululululululu, hoi hoi hoi hoi, tumemwonaa, hongera sana, wifi katulia ila angalia usiwashawishi wanaume wetu wa bongo waanze kufunga tera kwenda UG, Sisi pia tupo bomba michu.
ReplyDeleteMASHAALLAH!Lakini mbona kabeba passport ya Tanzania (ya kwako nini?) au macho yangu yamenidanganya leo kwa mara ya kwanza?
ReplyDeleteDuh, Jamaa Hapo Pembeni Linamezea Mate Kweli Kweli Mpaka Limeweka Shingo Upande!!...Inaonekana Ni Mzee Wavichenchedo!
ReplyDeletekaka jamaa vipi hapo juu anasema alusi lini inamaana huu mzigo hujautwaa kaka kaka hujautwaa fanza haraka dua tunakuombee kaka!du!du!
ReplyDeleteMichuzi hehe ehe!
ReplyDeleteSisi wajanja kukuzidi men! huyu ni shemeji yako? ahaha..basi ngoja nikupashe
Cheki picha ya juu mkeo kavaa nguo zipi, angalia "shemeji yako" kavaa nini? je kuna uwiano? shati jeupe, sweta jeusi na suruali ya pink, je wote wameamua kuvaa sawa? haya tena, picha ya juu shemeji yuko wapi au alitangulia kwenda airport, au ndo alipiga picha? hehehe.....
Michuzi kama umeenda shule, sasa sis tumeenda school man hehe...
Mke mzuri, maana na mie mke mtarajiwa ni mama nkwara pia....hehe
Jamani huyo mnayemuona mwanaume ndio shemeji huyo mwenye smile nzuri ndio bibi yake.
ReplyDeleteAu hapo kwenye picha ni kaka na dada huoni walivyofanana.
Ni mzuri kwa huko bongo, ila kwa Uganda si chochote..Muweke mbele ya Wanyankole(Westerners)ndo utajua what I mean. Just a comment, Kaka Michu usimaindi
ReplyDeleteAsijekua anataka Green card tu huyu...Mbona kama mdogo sana....watch out my big brother
ReplyDeleteKaka yangu utafilisika. Honeymoon unaenda na mashemeji? Ndio maana UGG very expensive....kondoo la austaralia hilo...teh te tehehhhhhhhh
ReplyDeleteWanyankore wanasema bibi mwenye mwanya na fizi kubwa ndio mtamu! Huyo wa Michuzi ana fizi!
ReplyDelete