
WADAU NIMERUDI NA PICHA HII YA MIKONOZZZZZZZZZZZZZZZZZZ!
STELINGI HAUWAWI!
SAMAHANI KWA KUWA KIMYA KWA TAKRIBAN WIKI MOJA KUTOKANA NA MATATIZO YA KIUFUNDI AMBAYO WENGI MNAYAFAHAMU. PIA EMAIL ADDRESS YANGU YA issamichuzi@gmail.com NIMEISHAIGOMBOA HIVYO LIBENEKE KAMA KAWA NA MAMBO MSWANO.
NASHUKURU WADAU KWA MOYO MLIONIONESHA KWA KUIJALI GLOBU YETU HII AMBAPO NAAHIDI KULETA MAVITUZZZ KAMA KAWA. MASAA 24 YALOPITA NILIKUWA KIMYA KUTOKANA NA KUREKEBISHA MAMBO NA KUREJEA KWENYE GLOBU YENU HII.
ILE YA isamichuzi.blogspot.com (ya 's' moja) itakuwepo kwa muda ila nitaiunganisha humu muda si mrefu.
Yo Bro Michuzi
ReplyDeleteNimeamini kweli Stelingi Hauwawi na Akiuwawa Ni Mwisho wa Cinema.
Endeleza libeneke ili hao mapopo waliozoweya kutapeli watu waone Wabongo ndio mwisho wao.
mmetakata watoto wa sumari simchezo mambo ya nakaaya nini
ReplyDeleteKaka tunashukuru sana!! Sasa mikono imefanya nini kaka?? Au unamaanisha sisi hatuna mikono!!! hata sasa tunayo mikono sio wewe tu. Ahsante.
ReplyDeleteKweli hawa wa-Nigeria hawana maana hata kidogo, wametukosesha zawadi ya mtu wa 1,000,000.
ReplyDeleteKweli Starling hauwawi
Pole sana Bro Michuzi.uyu nancy Sumari kafanya nini jamani mbona kaharibika,sijui ndo kukua maana uyu mtoto alikuwa bomba sana,nilikuwa namuona kama malaika vile,sasa inakuwaje,
ReplyDeleteMichu vipi mtu wangu?unajua ni kama vile cocaine ukianza inakuwa ngumu kuacha, sasa tulivoona picha za mafuvu haziondoki tukasema usijekuta "wamekumuvuzisha" kuwa mmoja kati ya hao mafuvuz, au nikasema isijekuwa camera imeisha petrol!kama vipi sema wadau tukuwezeshe hata kwa mia mia tuendelee kuwa hewani mtu wangu, anyway najua na wewe unavopenda udaku hata wewe umetumiss.gud job brother.Michu shaka sali yupo Tz can you get his pictures pliz and who brought him bongo?mwenyewe au prezidaa?check this out for us pliz.Johnson.
ReplyDeleteHONGERA SANA KAKA ISSA WA MICHUZI TUNASHUKU NA KUKUPONGEZA KWA NGUVU ZOTE KAKA, ENDELEZA LIBENEKE KAMA KAWAIDA, HII NI BLOG INAYOPENDWA SANA SO NINGEKUSHAURI UWAPELEKEE TAARIFA KINA DA CHEMI NA MJENGWA NA DOGO MICHUZI JR KUWA UMERUDI KWENYE BLOG YENYE DOUBLE ''S'' YAANI http://issamichuzi.blogspot.com
ReplyDeleteILI WAWEZE KUTANGAZA KWENYE BLOG ZAO KAMA ULIVYOFANYA WAKATI UMEANZISHA ILE BLOG NYINGINE, ASANTE SANA MKUU
WILLY
That is true, Sterling wa kushika za nyeti hauawi!
ReplyDeleteKweli hauwawi akiuwawa itakuwa picha ya Kihindi.Karibu tena.
ReplyDeletemichu tutaftie kilichojiri mahojiano ya jk na shaka.ila jk kwa kigugumizi!sooo
ReplyDeleteKaka mbona suruali yako kama imetunatuna hivi hapo down ya chini!?!
ReplyDeleteAu hiyo mikonozzzz ya hao wakina dada ndio imepitisha chaji humo mabegani, kisha ikaenda "kumuvuzisha" hiyo suruali!?!
Tehe! teh! tee!
Wewe michuzi huna adabu kabisa yaani ndio umeamua kuwagusa hao wadada maziwa kwa kupitisha vidole vyako makwapani!
ReplyDeletekaazi kweli kweli
Wadau Lilly na Franco wanasema acha wachongaji wachonge, hata ufanyeje hawakosi la kusema! Mikono yako uliyopewa na Mwenyezi Mungu itumie ...bora usivunje sheria!!Mwisho watu watakuzushia una ulemavu wa mikono buree!'Kule kwetu Bagamoyo tuna msemo'... unasemaje tena???
ReplyDeleteBro Michu, Pole sana na mambo ya mtandao ndio maisha hayo...Pongezi kwa ujasiri ulioufanya kuweza kurudi "juu ya mstari" na kufanikiwa kutuletea "my marafiki na washabiki wako" nyeti na motomoto nyingi za nyumbani....Alluta Continua Michu, mwendo mdundo kaka!!!!
ReplyDeleteBro Michu nakuona maana nilishazoea kupata habri sasa kila nikiingia naona mafuvu tu nikasema labda umeishatekwa nyarakumbe upo pole na matatizo ya kiufundi.
ReplyDeleteMichu hiyo picha safi wacha waseme tu mimi nakushauri mikono itumie ipasavyo kwani hufanyi jambo baya lolote naona uko na Nakaaya na kipenzi changu Nancy hongera.wasalimie sana.
Naandika script moja inamhusu photojournalism na pilika pilika za kupata habari nafikiri utafaa sana kuwa main actor na Nancy ananafasi yake
Bro Michu, itabidi tuunde tume kuchunguza hicho kilichotuna karibu na sehem ya uzazi!!!!!!!!
ReplyDeletesamahanini nauliza jamani. hawa ni MACELEBRITY? na je wanajishugulisha na mambo gani hasa hawa watoto wa Sumari? sina nia mbaya nao, ila nadhani wajitahidi sana katika maisha. maana umaarufu usije ukawalewesha, baada ya muda mambo yatawawia magumu. Maana kwanza ni wadogo wanastahili kujiendeleza kielimu ili wa maintain status yao, otherwise sina uhakika kama umaarufu utawasaidia chochote hasa hapo Bongo.
ReplyDeleteSamahani kama nimewauzi kwa njia moja ama nyingine, Ni maoni yangu tu haya na kila mmoja ana uhuru wa kusema. Kila la kheri warembo
MWESHIMIWA ISSA..ANGALIA..ULIPOTEA "..GHAFLA.." SIO UNATOA HABARI NA PICHA ZA WENYEWE.."..HOVYOHOVYO TU WEWE !!!.." WATU WASHAMALIZA SHUGHULI SASA RUKSA ENDELEA...
ReplyDeleteDADA MWENYE KOFIA NYEUPE HONGERA MIMI NAKUONA KWENYE MTANDAO TU ONE DAY NITAKUONA LAIV I LUV YA STYLE GAL..MABINTI WA "..SUMARI.." MIE "..MSUMARI.." USHANJERUHI MOYONI, NTAENDA KUMUONA DAKTARI..
ReplyDeletethese gals are gorgeous well done naakaya have just been listening to ya malaika u really sound like one well done love.im just havin it here!
ReplyDelete