baadhi ya mashabiki wa taifa staaz wakiwa huko uswisi ambako timu yetu inajifua tayari kwa mpambano na msumbiji septemba 8

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. nawaona waheshimiwa saaanaaa wa ubalozi wa tz geneva!!hahaaa

    ReplyDelete
  2. Nawaona wazee wa tanzanite Geneva,keep it up guys.
    mdau wa London.

    ReplyDelete
  3. Nawaona wazee wa Geneva Deus na mdau wa tanzanite club,keepit up guys.mdau london.

    ReplyDelete
  4. Mambo hayo, Naona Tanzania tupo juuu, nawaona wenyeviti wa Tanzanite, na mkubwa wa Tanzanite, sasa hiyo siku Tanzanite ilifungwa nini, mwaana wanyeviti wote mpo kwenye viti, lakini nawaamini wanangu, deus vipi umenuna kidogo, vipi balozi nakuona umetulia sana, hahaaaaaaaaaaaaaaaaaa, keep it up guys, hiyo ndio kazi yenu wadau....

    ReplyDelete
  5. Jamani Taifa star, sasa mbona mmneweka picha yenu wenyewe kwani nyie ndio wachezaji au, mbona hatuelewi kabisa.... hahahaaaa

    ReplyDelete
  6. hawa ndio wafanyakazi wa ubalozi wa tanzania, angalia walivyovaa vizuri wamependeza sio mchezo. Sio ambokile hata soksi hana na chupi.y

    ReplyDelete
  7. Hivi kuna ulazima wa timu ya taifa kwenda nje ya nchi kufanya mazoezi?
    Ikiwa hali ni hii basi tumekwisha. Hii pesa nani analipa? Bila shaka mlala hoi. Hivi hatuna sehemu nzuri na tulivu za wachezaji wetu kufanyia mazoezi? Arusha au Kilimanjaro panafaa. Hii pesa mnayotumia ingeweza kuboresha huduma nyingine za jamii. MSISAHAU KUWA TANZANIA NI NCHI MASIKINI SANA. Tumieni kwa uangalifu na uadilifu.

    ReplyDelete
  8. Daaaah, mnanikumbusha Tanzanite kwa saaana. Nawaona Tanzanian Mission hapo na Bwana Tanzanite mwenyewe. David uko wapiiiii, si ulikuwepo katika hii mechi weyeee?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...