Home
Unlabelled
baada ya kukosa tiketi....
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
TEH!TEH! WAMEMGEUKIA NA TENGA! SOKA LA KIBONGO BWANA!!!
ReplyDeleteBraza siku nyingine usituweke machizi wange kuwa na shida ya kwenda uwanjani wangewahi kununua tiketi yani nime shikwa na hasira natamani niwatie bakora TANZANIA 2 - MSUMBIJI 0
ReplyDeleteSAWA KABISAAA. MIMI NAWAUNGA MKONO WASHABIKI HAWA.
ReplyDeleteMECHI KIINGILIO KIKUBWA WATAKAOINGIA NI WALE WENYE MATUMBO NA MABISHOLOLO WASIOWEZA KUSHANGILIA NA MATOKEO TIMU ITAONDOKA MIKONOI MITUPU.
HAWA NDIYO WASHANGILIAJI. WAPIGA KELELE (YOBS) AMBAO SAUTI ZAO ZINGEKUWA KERO KWA WAMAKONDE. LAKINI PAMOJA NA UWANJA KUWA NA WATU 60K, UTAKUWA KIMYA KAMA ANAENDA KUZIKWA NYERERE. HATA SIKU HIYO WATU WALILIA (KULIA NA KUSHANGILIA ZOTE NI KELELE).
HIVI HAO TFF WALIOTUMIA SIKU TATU KUHESABU MAPATO YA TAIFA STARS NA MSUMBJI WANA AKILI KWELI?
BENKI MOJA ILITAKA KUNUNUA MECHI KWA MILIONI 300 HADI 400 TFF ITAOLEA NJE. MADAI YAKE WAMEAMBULIA MILIONI 230. HII INAINGIA AKILINI KWELI?
HAWA JAMAA WATAIBA FEDHA ZA MAPATO HADI TUTAKAPOKUJA KUGUNDUA KAMA TUMEIBIWA, UWANJA UTAKUWA UMESHAOZA.
KWANZA TIKETI ZENYEWE ZILIONEKANA TU JINSI GANI ZILIVYOKUWA NA MAPUNGUFU. HAZINA SERIAL NO.s, NAMBA YA VITI AU ENEO LA KIASI CHA FEDHA KILICHOLIPWA. ILI MRADI WIZI WA KISAYANSI MTINDO MMOJA. SUBIRINI MUONE AKINA MWAKALEBELA, TENGA NA WENZAKE WATAKAVYOTANUA NA X5 BAADA YA WIKI CHACHE TU. YANGU MACHO NA MTAKUMBUKA USEMI HUU.
BONGO KUNA USHENZI MWINGI UNAENDELEA YAANI KILA IDARA INANUKA RUSHWA,KUNA SABABU GANI YA KUMUUZIA MTU MMOJA TIKETI 30,SISI AMBAO TUKO MBALI NA NYUMBANI TULITEGEMEA UWANJA MPYA MAMBO MENGI YATAENDESWA KIUSTAARABU KUMBE NDIYO BALAA LINAONGEZEKA,TFF WANATAKIWA WAWAJIBISHWE KWA UDHALILISHAJI HUU,SIJUI SISI WATU WEUSI TUNA MATATIZO GANI?NI AIBU SANA.HATA HUO UWANJA MPYA HAUNA MAANA YOYOTE,TENGA UNATAKIWA UTUELEZE.TATIZO LA WATANZANIA MECHI IKIPITA NA HOJA ITAKUFA SISI NI WATU WA KUSAHAU SANA.
ReplyDeleteHAO NDIO WALE WAHARIBIFU WA WANJA LETU;DUUH NIMEWAONA WANATUTILIA NUKSI SHWAIN;VIPI YUSHTUE NA HIO SITE YA TVT ILI TUANGALIE HILO BALL LA KESHO!TAIFA STARS 2-1 MSUMBIJI
ReplyDeleteHawa TVT nao ni myeyusho tupu, pamoja na TIDO nae kuja na uongozi wake mpya akina Susan Mungi kupewa cheo kikubwa cha Director wa News lakini mambo ni yale yale. Michu mpigie TIDO umuulize VIPI?
ReplyDeletehayo ya kawaida...mbona kila siku ticket zikitoka US wanapanga foleni watu kama ni baridi wananunua hata ticket mia ikija siku ya mchezo kama publicity ni kubwa na kila mtu anataka kuoona mpira basi unagonga watu kama hamna jipya basi unakula hasara. Kama hizo tiketi ziliuzwa kwenye uwanja kihalali na watu wakaruhusiwa kununua maximum certain tickets ...no problem..ila kama kuna wengine waliruhusiwa kununua mia wengine wakakataliwa ...that is a problem.
ReplyDeletekama mnataka kuwakomoa hao walanguzi msinunue ticket zao wapate hasara. Kesho watajifunza.
Kumbukeni nchi yetu ingawaje uchumi watu tunajifanya niwa sijui vipi lakini 100% umeshakua wakibepari. Na uchumi wa kibepari ni MONEY TALKS
THIS IS GETTING CRAZY AND UNFAIR..TICKET LAZIMA ZIUZWE KWA HAKI,COZ MTU AKINUNUA TICKET 30 ZA SHILINGI 3000 ALAFU AUZE KWA ELFU 10 KILA MOJA SIO HAKI KABISA,HUKU NJE KUNA LIMITATION YA MTU MMOJA KUNUNUA TICKET,I THINK THE SAME METHOD SHOULD BE APPLIED IN TZ,NCHI NZURI LAKINI UPUUZI NA RUSHWA TUU,NA NYIE TFF U BETTER CHECK URSELF OUT SIO KUUMIZA WAPENZI WA MPIRA...TZ 3-1
ReplyDeleteJAMANI TUWE KAMA WATU WAZIMA SIE WATANZANIA, KUNUNUWA TICKET HATA ZIKIWA 100 NI UWEZO WAKO. TANZANIA PIA KAMA KITU KWELI 3,000 KWA NCHI KAMA YETU TUENDELEE KUFANYA BEI HIYO HIYO SIO KUWAANDAMIZA WATU. NA MAMBO YA UZALENDO UMETUSHINDA TUWACHENI TUIPE TIMU YETU NGUVU MUNGU IBARIKI TANZANIA TUSHINDE TUSISHINDE TUZIDI KUWA NA NGUVU NA TIMU YETU TUSIKATE TAMAA TUKISHINDWA HAPA SIO NDIO TUSHINDWE MBELE.
ReplyDeleteBwana huyo mwenye jezi ya njano fitina tu siyo mmbongo inaelekea katokea kwa babu Mandela kuja kuona maajabu ya wanja la bongo hakuna Africa nzima.
ReplyDelete