Home
Unlabelled
BREKING NYUUUUUUZZZZZZ
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hilo nilijua tu Michuzi, Yaani baadhi yetu sijui tumezaliwa jalalani??? Halafu unaweza kukuta ni mtu mzima ile mbaya maana huo urefu tu unadhihirisha. Pili hao waliopembeni yake wakamuona anafanya hayo kimyaaaaaaaa!! Wote ni Kajamba nani kwelikweli, wala pilau kwa kunawa maji ya beseni moja hadi maji yawe red/brown
ReplyDeletewameshaanza!...itafuatia kujisaidia hovyohovyo kweye loos
ReplyDeleteKAKA MICHU HIYO PICHA HUJAPIGA VIZURI.
ReplyDeleteMAANA HAPO KUNA MAJINA YA WATU WAWILI.
WA KWANZA NI HUYO SUGA
ILA JIN ALA PILI NI LA RAY C SASA NASHANGAA MSANII MKUBWA KAMA RAY C ANAPIGA CHAT YAKE NUSU NUSU ILIMPASA AMALIZIE KABISA "RAY C"
HONGERA RAY C NIMEPATA UHAKIKA KWAMBA ULIKUWEPO NESHO BAADA YA KUONA HENDI RAITINGI YAKO.
ndio yeye huyo huyo, mwone kwanza macho yake!!!
ReplyDeleteWazee mnanichekesha du..Ila Ray C km ndio wewe uliyepiga chata lako hapo sio fresh. Umaarufu hautafutwi hivyo. We mwenyewe ulikataa kutundikwa kwa blog ya Michuzi!!
ReplyDeleteILA KWELI HAPO RAY C KWELI UMECHEMKA YAANI KUNING'INIA KWENYE BLOG YA MICHU UMEGOMA NDIO UKAAMUA UTOKE NA STAILI MPYA?
ReplyDeleteNIMEKUBALI DAADAAKE KWELI WEWE MBISHI!
KAMUA DADA RAY C TUPO PAMOJA TUWAKILISHE IRINGA.
JAMANI SWALI LA KIZUSHI KUNA MDAU YEYOTE ANAFAHAMU JINA LA MTOTO WA RAY C NA UMRI WAKE?
NAOMBA MSAADA WENU.
Huyo mtu aliye andika hapo hana baba wala mama na kama anaye mama basi baba yake hamjui.
ReplyDeleteHuyo ni kilaza mmoja hivi alikuwa msemaji wa CUF sasa hivi karudi CCM. Ndiye mwenye ile Bar ya Sugar Ray Sasa kwa haraka akasahau "r" mwisho.Jamaa anapenda "slope"(Bwerere) sana, badala ya kulipia kwenye screen yeye anatumia chaki ya shs 50 lutafuta popularity.
ReplyDeleteMIJITU MINGINE BWANA SASA RAY C WA WATU KAFANYA NINI HAPO, KAMA UMEKOSA CHA KUANDIKA BORA KWENDA KUONGEZA MASAA YA KUBEBA HAYO MABOX !"£W")&%£$!!!
ReplyDeleteMuhidin Musa MICHUZI, nakushutumu na kukemea vikali kuwa una-promoti grafitti. Baada ya watu kuona hivi watakuwa wamepata ujiko, kila mtu atamiminika kwenda kwenye jukwaa na choki za kila rangi na vipande vya mkaa. Siku hizi kila mtu anatandaa ati.
ReplyDeletePamoja na kwamba kitendo hicho ni kibaya, lakini wachangia maoni tusijidhalililishe sana kuonyesha eti tabia hiyo tunayo sie watanzania/watu weusi tu.
ReplyDeleteSi kweli. Hata Ulaya wazungu wanaandika kwenye Maukuta, tena mbaya zaidi wao wanaandika kwa rangi zile za ku-spray za kwenye makopo kama x-pel zile, ambazo zikipakwa sehemu hazisafishiki kiurahisi.
Tusijiponde kiasi hicho jamani!
Mi nakwambia baadhi ya Watz... ni ngozi ya t*ko sasa hapo ni nje....we nenda chooni utakuta wamek*nya hovyo na makaratasi ya gazeti nk utayakuta humo... na chupa za maji wamejaribu kuzi-flash.... kudadadeki..
ReplyDeletewazee wa wanja fungeni kameraz na toeni semina nyingi....kitunzekidumu, uzalendo kwa mali yetu, dumisha usafi....nk
Jamani mi ninahasira.. na mijitu kama hiyo...ati utakuta inasema 'kuweka chata' waweza kuta ji-mtu limi k*nya mlangoni alimradi tu ''chataz'' Nawaomba wenye mapenzi mema pamoja na wizara simamizi ya wanja letu mufunge kamera nyingi humo majitu haya tuyaone na aibu yao iwekwe peupe... hebu cheki mimacho yake...
ReplyDeletehaha hahahaa !
ReplyDeletewatu mna chuki ! .....mnajuaje alieandika anabeba boksi ?
heri yao wenye ajira, maana kila kukicha unemployment inaongezeka kila pembe.
mnaosaga kokoto msasani na kwingineko mungu awabariki, ipo siku tutafika tu.