kina jeff msangi, yaani wale wahanga waandamizi wa kuruka ukuta neshno hawakukosekana. ila jamaa wa jkt waliotanda kila kona walikuwa nuksi kweli....cheki jeff alivyowekwa chali hapo...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Tunavyosema Wapare wabahili hatuwatukani jamani, Jeff Msangi amethibitisha hilo.

    Pongezi JKT maana bila uangalizi wa uhakika na wa kudumu watatoboa ukuta wapate matundu kama ngazi hivi!!

    Adhabu yao ingekuwa mechi ikiisha wakaoshe vyoo hadi vitakate kama vya IKULU

    ReplyDelete
  2. Hahaha Jamani yule karibu na dada aliye vaa njano sio Issa Michuzi kawekwa chini ya ulinzi na mgambo, akijaribu kuingia na ticket yake feki wadau kweli sio issa michuzi huyo hahaha. ISSA MICHUZI subiri fungulia mbwa dk za nyongeza wanaingiza watu bure from Zaramo crew

    ReplyDelete
  3. KUMBE HAO WAJEDA WA JKT WAKIPEWA TENDA YA KAHAKIKISHA WANAFUNZI HAWANYANYASWI NA MAKONDA WATAFANIKIWA KUONDOA KERO YA MADENTI.

    PIA HATA WAKIAMBIWA WAKOMAE NA MAPIGA DEBE MATEJA KUMBE BADO WANAWEZA.

    PONGEZI JKT ILA MNAONAJE MUWAIBUKIE NA MAPIGA DEBE JAPO KA MWEZI TU NAFIKIRI ITAKUWA TOSHA.

    ReplyDelete
  4. Tatizo la jeshi letu ni matumizi ya mabavu bila sababu, sijui wataanza kutumia technolojia lini. Hapo jamaa yuko chini lakini unaweza kuta hana kosa lolote, they treat everyone like a dog, hawaongei na mtu, wao wanachojua ni kutumia misuli yao tu!
    Labda tuwalaumu wanaofanya process ya kuwa recruit-mwenye msuli mkubwa, mwenye pumzi na mbio, mwenye kupiga push-up nyingi, etc ndo atachaguliwa kuliko mtu ambaye yuko fit kwenye physics, chemistry au maths, hilo ndo jeshi letu la kerne hii ya 21!!!
    Kazi kwelikweli..........

    ReplyDelete
  5. Jeff Jeff Jeff ! Ushaonywa sana sasa ffu wametota angalia sasa JKT wenyewe wamekudaka.

    ReplyDelete
  6. na sisi wabongo tunatia aibu,hata hilo wanja kama la imarati unataka kuruka?kuna kuua migongo hapo

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...