ile pyeeeee tu jana, wanja letu la taifa la neshno stediumu limeshaanza kula chaki. hii ni kule juu kwa kina michuzi a.k.a wadau wa 3,000/- a.k.a kajamba nani... naomba msimtuhumu huyo jamaa kwani hakupastukia hapo mahali hadi nilipokuwa napiga picha

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 14 mpaka sasa

  1. Hilo nilijua tu Michuzi, Yaani baadhi yetu sijui tumezaliwa jalalani??? Halafu unaweza kukuta ni mtu mzima ile mbaya maana huo urefu tu unadhihirisha. Pili hao waliopembeni yake wakamuona anafanya hayo kimyaaaaaaaa!! Wote ni Kajamba nani kwelikweli, wala pilau kwa kunawa maji ya beseni moja hadi maji yawe red/brown

    ReplyDelete
  2. wameshaanza!...itafuatia kujisaidia hovyohovyo kweye loos

    ReplyDelete
  3. KAKA MICHU HIYO PICHA HUJAPIGA VIZURI.

    MAANA HAPO KUNA MAJINA YA WATU WAWILI.

    WA KWANZA NI HUYO SUGA

    ILA JIN ALA PILI NI LA RAY C SASA NASHANGAA MSANII MKUBWA KAMA RAY C ANAPIGA CHAT YAKE NUSU NUSU ILIMPASA AMALIZIE KABISA "RAY C"

    HONGERA RAY C NIMEPATA UHAKIKA KWAMBA ULIKUWEPO NESHO BAADA YA KUONA HENDI RAITINGI YAKO.

    ReplyDelete
  4. ndio yeye huyo huyo, mwone kwanza macho yake!!!

    ReplyDelete
  5. Wazee mnanichekesha du..Ila Ray C km ndio wewe uliyepiga chata lako hapo sio fresh. Umaarufu hautafutwi hivyo. We mwenyewe ulikataa kutundikwa kwa blog ya Michuzi!!

    ReplyDelete
  6. ILA KWELI HAPO RAY C KWELI UMECHEMKA YAANI KUNING'INIA KWENYE BLOG YA MICHU UMEGOMA NDIO UKAAMUA UTOKE NA STAILI MPYA?

    NIMEKUBALI DAADAAKE KWELI WEWE MBISHI!

    KAMUA DADA RAY C TUPO PAMOJA TUWAKILISHE IRINGA.

    JAMANI SWALI LA KIZUSHI KUNA MDAU YEYOTE ANAFAHAMU JINA LA MTOTO WA RAY C NA UMRI WAKE?

    NAOMBA MSAADA WENU.

    ReplyDelete
  7. Huyo mtu aliye andika hapo hana baba wala mama na kama anaye mama basi baba yake hamjui.

    ReplyDelete
  8. Huyo ni kilaza mmoja hivi alikuwa msemaji wa CUF sasa hivi karudi CCM. Ndiye mwenye ile Bar ya Sugar Ray Sasa kwa haraka akasahau "r" mwisho.Jamaa anapenda "slope"(Bwerere) sana, badala ya kulipia kwenye screen yeye anatumia chaki ya shs 50 lutafuta popularity.

    ReplyDelete
  9. MIJITU MINGINE BWANA SASA RAY C WA WATU KAFANYA NINI HAPO, KAMA UMEKOSA CHA KUANDIKA BORA KWENDA KUONGEZA MASAA YA KUBEBA HAYO MABOX !"£W")&%£$!!!

    ReplyDelete
  10. Muhidin Musa MICHUZI, nakushutumu na kukemea vikali kuwa una-promoti grafitti. Baada ya watu kuona hivi watakuwa wamepata ujiko, kila mtu atamiminika kwenda kwenye jukwaa na choki za kila rangi na vipande vya mkaa. Siku hizi kila mtu anatandaa ati.

    ReplyDelete
  11. Pamoja na kwamba kitendo hicho ni kibaya, lakini wachangia maoni tusijidhalililishe sana kuonyesha eti tabia hiyo tunayo sie watanzania/watu weusi tu.
    Si kweli. Hata Ulaya wazungu wanaandika kwenye Maukuta, tena mbaya zaidi wao wanaandika kwa rangi zile za ku-spray za kwenye makopo kama x-pel zile, ambazo zikipakwa sehemu hazisafishiki kiurahisi.
    Tusijiponde kiasi hicho jamani!

    ReplyDelete
  12. Mi nakwambia baadhi ya Watz... ni ngozi ya t*ko sasa hapo ni nje....we nenda chooni utakuta wamek*nya hovyo na makaratasi ya gazeti nk utayakuta humo... na chupa za maji wamejaribu kuzi-flash.... kudadadeki..
    wazee wa wanja fungeni kameraz na toeni semina nyingi....kitunzekidumu, uzalendo kwa mali yetu, dumisha usafi....nk

    ReplyDelete
  13. Jamani mi ninahasira.. na mijitu kama hiyo...ati utakuta inasema 'kuweka chata' waweza kuta ji-mtu limi k*nya mlangoni alimradi tu ''chataz'' Nawaomba wenye mapenzi mema pamoja na wizara simamizi ya wanja letu mufunge kamera nyingi humo majitu haya tuyaone na aibu yao iwekwe peupe... hebu cheki mimacho yake...

    ReplyDelete
  14. haha hahahaa !
    watu mna chuki ! .....mnajuaje alieandika anabeba boksi ?

    heri yao wenye ajira, maana kila kukicha unemployment inaongezeka kila pembe.

    mnaosaga kokoto msasani na kwingineko mungu awabariki, ipo siku tutafika tu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...