kila aina ya dizaini ya mekandizi ya taifa staaaz imebuniwa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Hii, inafurahisha,inahamasisha,inapendeza ndio umoja huu wa watanzania.Macho yangu leo yanapumzika na kuangalia ligi za ulaya.Nafatilia Star TV

    Taifa Stars Oyeee!

    ReplyDelete
  2. taifa star juuu mimi kama mwanamke nilikuwa sio mpenzi wa mpira kabisa ila hii ya home ahaaaa na support wangu all the best

    ReplyDelete
  3. wanakijiji wenzangu,hivi huyo mshikaji anaemwangalia kipukuswa hajachukia kweli???mimi nahisi kama anataka kumzaba mshikaji kibao,au ndo alivyo.Kama ndo alivyo basi kaaaazi kwelikweli. Sina swali mh.mwenyekiti.
    Majita

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...