foleni ya tiketi za 10,000/- uwanja wa karume. hadi kufikia saa saba za 30,000/- na za 20,000/- zilikuwa zimekatika. hivi naelekea neshno ambako nasikia wanja lishajaaa

nusu. mechi inaanza saa moja za huku, stei tyuuuuunnnddddii

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Mbona hamna wanawake?Yaani ni mijibaba mitupu.

    ReplyDelete
  2. NAWAPONGEZA SANA WATANZANIA WENZANGU MLIOPANGA FOLENI HAPO KWENDA KUWAPA HAMASA TAIFA STAZI.

    MUNGU BARIKI TANZANIA,MUNGU BARIKI TAIFA STAZI.

    WACHA NDUGU ZAKE NA MY WIFE WAKE MICHUZI WAFUNGWE LEO WARUDI UGANDA WAKAENDESHE BODA BODA.

    ReplyDelete
  3. vipi michuzi mbona hautupi nyepesi nyepesi si unajua wa huku ughaibuni tunakutegemea wewe tupe kwa ujumla kipindi cha kwanza mpira ulikuwaje hao vijana wetu wanaonyesha kabumbo au wameelemewa tunasubiri kwa hamu

    ReplyDelete
  4. Wewe umesahau mila na desturi eeh. ukiona hivyo mama anapika home na baba anaenda na tiketi ya my waifu wake.Mwambie mwanamke apange foleni hapo uone balaa lake.

    Ndaki eeh,naamini mwaka 2005 ulikuwa chuo-UD.Je ni kweli kuwa field yako ulikuwa mkoa fulani hivi uko nyuma sana kimaendeleo?? jibu ndio au hapana.Najaribu kuona kama ni ndaki ninaemjua au la.
    Majita

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...