mgeni rasmi kwenye hafla ya kuwapa moyo taifa staaz iloandaliwa na nyota wa zamani alikuwa waziri mdogo wa habari, utamaduni na michezo mh. joel bendera ambaye ndiye aliyekuwa kocha wa timu iliyofika fainali za kombe la afrika mwaka 1981.




mwasisi wa mfuko maalumu wa kusaidia wachezaji nyota wa zamani afande jamal lwambow ambaye ni kamanda wa polisi kanda ya kinondoni akihutubia hafla hiyo





mc alikuwa ibrahim masoud wa clouds fm
mohamed rishard adolf akisoma risala ya nyota wenzie walioifikisha taifa staaz fainali za kombe la afrika mwaka 1981 uwanja wa sululele huko lagos. ametoa changamoto kwa wadogo wao waige mfano wao kwa kwenda ghana

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Kama Michuzi naona umekosea mwaka. Ni mwaka 1980, siyo 1981!

    Asante sana kwa picha za tukio linalotukumbusha mbali. Mwaka 1980 mwishoni tuliwalamba Kenya 5-0 hapo stadium. Cha ajabu Dec 1981, Kenye walitufunga 1-) hapo studium kwenye fanal ya Challenge!! Wakati huo mpira unacheweza haswa.

    Havi nina matumaini mpira wetu unarudi pale unatupotakiwa kuwa!!

    Toka VIENNA (mjini kwa George KULaGWA)!!

    ReplyDelete
  2. Mohamed Rishard "Adolf". hajapata kutokea midfield mwingine kama huyu Tanzania.

    miaka ya mwisho ya career yake alicheza namba 5 timu ya taifa dhidi ya Uganda Cranes.

    Majidu Musisi wa Uganda anajua kazi ya Nahodha Muhamed Rishard "Adolf."

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...