
maximo akiwa na madaraka selemani 'mzee wa kiminyio', shabani maufi, julio, abbas kuka na dan mwalusako

mbunge wa kinondoni mh. iddi azan (shoto) akiwa na bosi wa kampuni ya easy finance mh. isaac kasanga, mbunge wa mafia na abubakar salum sure boy

dk. ramadhani dau ambaye ni mwanakamati mwandamizi wa kamati ya saidia staaz ishinde akikaribishwa na juma mensah na muhamed rishard adolf

kipa wa simba enzi hizo james kisaka akimkaribisha wajina wangu alhaji muhidin ndolanga kwenye hafla hiyo
s
Sasa Ndolanga alifuata nini!! Aaaaaaaaah mtaharibu sasa!
ReplyDeleteWhere is Peter Tino??
ReplyDeleteBongo Jamani,Zamani tulikuwa na wachezaji sio sasa tunajikongoja tuu,huu ukweli mtupu!!!
ReplyDeleteTINO! TINO!
ReplyDeleteKwanini mtu MAARUFU namna ile anachoka hivi.!!!!!!!!!!
aaaaaaaaaaaaaaaaah!!!!
hebu wachezaji wa sasa wajifunze, dah, hakuwekeza chochote!!!
labda ameamua kuwa hivyo, lakini hapana wachezaji wa sasa hasa wale maarufu wawe WAWE MAKINI SANA.
Weee Pumb***%%$$ hapo juu unasema eti Tino Kachoka,Hajachoka kitu uzee tu unamkimbilia au vipi.Hata hivyo yupo fit au unataka li kitambi na minyama nyama ndo umwone hajachoka??
ReplyDeleteHalafu ukumbuke mpira enzi hizo ulikuwa haulipi,pesa zote zilikuwa zinaliwa na wajuaji,wachezaji wilichezea mapenzi tu ya klabu na kufanya kazi.
jaribu kuongea mambo ya maana sio umbumbu wako kuuleta hapa S**%%&& kenge kabisa.
HUYO NDOLANGA ALIKUWA ANAKUNYWA UJI WA MGONJWA(SOKA) KARIBU HADI MGONJWA AKATE ROHO.LEO HII MGONJWA KAPATA NAFUU ETI ANAKUJA KUMJULIA HALI KUNA USALAMA KWELI?
ReplyDeleteMIMI NAFIKIRI TFF WAANDAE HAFLA NYINGINE YA KUWAKUTANISHA WALIOZOROTESHA SOKA LETU MFNO,NDOLANGA,WAMBURA,RAGE ETC
ENE WEI NGOMA MDUNDO LEO WAKWE WA MUHIDI LAZIMA WACHAPWE MABAO 3-0
JAMANI HUU SIYO UWANJA WA MATUSI. TUHESHIMU HII HAFLA NA WALA HAKUNA HAYA YA KUWATUKANA HAO WATU NA HESHIMA ZAO.
ReplyDeleteKUMBUKA WALIVYOKUWA WANCHEZA MPIRA HAWA JAMAA HAWAKUWA WANALIPWA MAMILIONI KAMA WA SASA.
TINO TOKA AFRICAN SPORTS TANGA KUJA PAN AFRICAN ILIKUWA KIZAAZAA KWANI ALIKUWA ANAIPENDA SANA TIMU YAKE. WAKATI HUO MPIRA ULIKUWA NA MAPENZI YA KWELI SIYO SIKU HIZI MTU AKITOKA YANGA MARA ANAENDA SIMBA KIENYEJI. ZAMANI ILIKUWA MWIKO SIYO KWA SABABU MTU ANAJIUNGA NA KLABU KWA KUWA NA MAPENZI YA KWELI.
NAKUMBUKA ENZI ZILE EZEKIEL GREYSON "JUJUMAN" ALIDAIWA KUWA DAMU YA YANGA LAKINI HAKUONYESHA MAPENZI NA YANGA HATA SIKU MOJA NA ALIKUWA AKIFANYA KWELI HASWA KILA MARA SIMBA ILIPOKUTANA NA MAHASIMU HAO WAKUBWA.
KAMA JUJUMAN ANGEKUWA SIMBA HIVI SASA, SIDHANI KAMA ANGEDUMU MWAKA KWANI "ULE UDAMU" WA SOKA KWA WACHEZAJI SIKU HIZI HAKUNA. KILA MTU ANADAI ANATAFUTA FEDHA. SAWA KWA NINI USIKAE NA KUWASHAURI VIONGOZI WAKO WAKAKUPA DAU KUBWA?
Tunao wachezaji rika la akina Tino hapa ughaibuni wanafanana life yao hivyo huyo kenge hapo juu anaesema Tino kachoka hajui alisemalo,tunao akina Gaza wengine ni umri tu unaenda na wala sio kuchoka wee chizi hapo juu.Mpira enzi hizo ulikuwa malipo cha mtoto.Michuzi waanzishie wachezaji chama tuwachangie sie huku paundi 30-50 zitawasaidia,najua wenzangu wapenda soka wataniunga mkono.Tusiwatupe hawa ni wetu walitufurahisha sana enzi zao ingawa kulikuwa hakuna fweza.nawakilisha.
ReplyDeleteCHA CHANDU
Ahh Michuzi umenifurahisha sana kuweka picha ya James Kisaka, ninamkumbuka sana enzi zile wanakaa Masaki, bado anapendeza, mtama kwa watoto!!
ReplyDeleteWacheni hizo Tino ni shida tu...
ReplyDeleteYeye na mdogo wake Emma Peter wameiba sana mabati ya Gebo.
Gongo hiyo mtaa wa congo zimemmaliza....
wee Isaack umepasuka ile mbaya..ni pesa au ni kitimoto kijana,hebu ingia Gym kidogo urudishe figure maana duh ungekuwa huna kitu hata mke usingepata.
ReplyDelete