Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. If we win,the whole Nation will go CRAZY!!!!!!
    GO TAIFA STARS!

    ReplyDelete
  2. KWAWALE WANAOTAKA KUTIZAMA GAME FREE KATIKA WEBSITE. NENDENI google then search myp2p.eu mtaona game live mara ya mwisho nilitizama tanzania na senegal kisha msumbuji na senegirls sasa sijui labda wana SHEgirls wanapendelewa kuoneshwa hapo TANZANIA OYEEEEEEEEE Japo kiroho kina dunda MOZA bin mbiki ZIRO

    ReplyDelete
  3. KILA LA KHERI TAIFA STARS.

    ILA KAKA MICHU UNAONAJE BAADA YA USHINDI WA STARZ HIYO T-SHIRT YAKO NAYENYEWE UIPUMZISHE MAANA SI UTANI, UMEKATINGA KWENYE MATUKIA KIBAO KWELI MIEZI HII MIWILI MFULULIZO.

    USHAURI TU!!

    ReplyDelete
  4. michuzi na washabiki wako wote hapo bongo kila la kheri na tupo nanyi pamoja..hebu mpeni jk la kuongea atakapowasili mitaa ya midwest next week........
    PIA MPE KIJANA WETU WA WICHITA ADAM JUMA(visual lab) KWA KUFUNGA NDOA JANA JIJINI DAR JANA IJUMAA. KILA LA KHERI KATIKA MAISHA MAPYA JA JELA.....

    ReplyDelete
  5. Ningependa ni pose mbele ya hiyo Billboard. TANZANIA JUU! TAIFA STARS OYEEE!

    ReplyDelete
  6. tumpe muda jamani wa miezi liyo bakia kubadilisha wadrobe. Kuanzia january 2008 vit-shirt vya ki low life hatutaki uvivaeeee tunaomba utusikilize wadau. ukiona mtu zaidi ya mmoja kasema badilika usiwemgumu kama jembe na nyundo

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...