Home
Unlabelled
kina jeff msangi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Tunavyosema Wapare wabahili hatuwatukani jamani, Jeff Msangi amethibitisha hilo.
ReplyDeletePongezi JKT maana bila uangalizi wa uhakika na wa kudumu watatoboa ukuta wapate matundu kama ngazi hivi!!
Adhabu yao ingekuwa mechi ikiisha wakaoshe vyoo hadi vitakate kama vya IKULU
Hahaha Jamani yule karibu na dada aliye vaa njano sio Issa Michuzi kawekwa chini ya ulinzi na mgambo, akijaribu kuingia na ticket yake feki wadau kweli sio issa michuzi huyo hahaha. ISSA MICHUZI subiri fungulia mbwa dk za nyongeza wanaingiza watu bure from Zaramo crew
ReplyDeleteKUMBE HAO WAJEDA WA JKT WAKIPEWA TENDA YA KAHAKIKISHA WANAFUNZI HAWANYANYASWI NA MAKONDA WATAFANIKIWA KUONDOA KERO YA MADENTI.
ReplyDeletePIA HATA WAKIAMBIWA WAKOMAE NA MAPIGA DEBE MATEJA KUMBE BADO WANAWEZA.
PONGEZI JKT ILA MNAONAJE MUWAIBUKIE NA MAPIGA DEBE JAPO KA MWEZI TU NAFIKIRI ITAKUWA TOSHA.
Tatizo la jeshi letu ni matumizi ya mabavu bila sababu, sijui wataanza kutumia technolojia lini. Hapo jamaa yuko chini lakini unaweza kuta hana kosa lolote, they treat everyone like a dog, hawaongei na mtu, wao wanachojua ni kutumia misuli yao tu!
ReplyDeleteLabda tuwalaumu wanaofanya process ya kuwa recruit-mwenye msuli mkubwa, mwenye pumzi na mbio, mwenye kupiga push-up nyingi, etc ndo atachaguliwa kuliko mtu ambaye yuko fit kwenye physics, chemistry au maths, hilo ndo jeshi letu la kerne hii ya 21!!!
Kazi kwelikweli..........
Jeff Jeff Jeff ! Ushaonywa sana sasa ffu wametota angalia sasa JKT wenyewe wamekudaka.
ReplyDeletena sisi wabongo tunatia aibu,hata hilo wanja kama la imarati unataka kuruka?kuna kuua migongo hapo
ReplyDelete