hawa ndio walioingia kumi bora. mavazi yamebuniwa na mustafa hassanali

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. Ukweli ni kwamba. Mustapha Hasanali this time alichemsha sana na huo ubunifu wake. Nguo zilikuwa mbaya, zimewapwaya mamiss, kwanza satin (aina ya kitambaa) cha hali ya chini yaani kwa ujumla hawakupendeza na hilo vazi lake la ubunifu. Acha kulipua wewe Mustapha

    ReplyDelete
  2. Jana usiku masikini hadi yule miss wa 10 akachelewa kuingia ukumbuni kisa kuvalishwa livazi ambalo limebuniwa ovyo, wanatembea wanayaburuta huku wameyashikilia, kwa ujumla hawakuwa comfortable hata Richa mwenyewe. Kama alilipwa na kamati ya Maandalizi amewaibia kabisaaaaaaaaaaaaaaaaa

    ReplyDelete
  3. Kwani yule miss kwa nini alisahau mkanda ndani, na kuchelewa kuingia ukumbuni????

    ReplyDelete
  4. musatapha hasanali kwa hapa naona kawaondoa njiani ma miss wetu. nguo hazipo smooth, zimejivuta vuta kama washoni walikuwa na papara. hazionikani kamwe kama zimeshonwa na professional person.
    na huyo miss akienda huko mashindanoni na mavazi kama haya....lazima ashindwe hata kama mzuri kama malaika

    ReplyDelete
  5. Namuona miss TzUk naturally black,anavutia sana ila nilijua huko bongo atashindwa si unajua wabongo wanapenda mikorogo,
    Mtoto kama huyu tzUk ndie alitakiwa ashinde, halafu kingine wivu eti kwa vile tu ni wa Uk.
    Anyway umewaonyesha, at least watapunguza hiyo mikorogo wanataka wawe kama huyo mdosi Richa.Keep it up Gladness.
    CHA CHANDU-UK

    ReplyDelete
  6. Hizi nguo mmmh, kasheshe

    ReplyDelete
  7. ANON September 2, 2007 3:31:00 PM EAT wewe unajua nini unaongea lakini miss TZUK ni msichana wakaiwada sio mzuri wakushinda umiss hata hivyo amaepata bahati sana kuingia huko alikuwa chini sana sana ukiangalia na mamiss wengine

    ReplyDelete
  8. Hiyo ngu ya wakwanza mbona imejaa jaa utazania kavaa ligagulo?

    ReplyDelete
  9. mmh...jamani huyo gladness wa uk hana lolote magoli ni huyo miss tanga,alistahili kweli kuwa ms tanzania lkn ndio hivyo,nawapa siri unajua hiyo zawadi mshiriki anatakiwa kutoa hela nusu sasa hiyo kamati imempata ridha ndio kaweza kutoa nusu si mnajua tena.hizo dondoo za ndani kabisa ya kamati.msilalamike sana.najua wabongo tumeumia sana.mpaka Hoyce

    ReplyDelete
  10. jamani hoyce mpaka kalia duu kuna kazi kweli majaji wamefanya vibaya na sio majaji kwa hao majaji si formalities tu ila wakiwa kambini kamati wenyewe pia wanakuwa majaji,licha ya hayo nakutoa hela nusu ya gari sasa mnafikiria wadosi watashindwa.anyways tumeshazoea lundenga na crew wake hawatendi haki kabisa.

    ReplyDelete
  11. BY the way, hiyo kamati ya miss Tanzania ni ya maisha-- yaani member wake mpaka wafariki wote au?. It is high time na wengine waiongoze.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...