Home
Unlabelled
kumi bora
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Ukweli ni kwamba. Mustapha Hasanali this time alichemsha sana na huo ubunifu wake. Nguo zilikuwa mbaya, zimewapwaya mamiss, kwanza satin (aina ya kitambaa) cha hali ya chini yaani kwa ujumla hawakupendeza na hilo vazi lake la ubunifu. Acha kulipua wewe Mustapha
ReplyDeleteJana usiku masikini hadi yule miss wa 10 akachelewa kuingia ukumbuni kisa kuvalishwa livazi ambalo limebuniwa ovyo, wanatembea wanayaburuta huku wameyashikilia, kwa ujumla hawakuwa comfortable hata Richa mwenyewe. Kama alilipwa na kamati ya Maandalizi amewaibia kabisaaaaaaaaaaaaaaaaa
ReplyDeleteKwani yule miss kwa nini alisahau mkanda ndani, na kuchelewa kuingia ukumbuni????
ReplyDeletemusatapha hasanali kwa hapa naona kawaondoa njiani ma miss wetu. nguo hazipo smooth, zimejivuta vuta kama washoni walikuwa na papara. hazionikani kamwe kama zimeshonwa na professional person.
ReplyDeletena huyo miss akienda huko mashindanoni na mavazi kama haya....lazima ashindwe hata kama mzuri kama malaika
Namuona miss TzUk naturally black,anavutia sana ila nilijua huko bongo atashindwa si unajua wabongo wanapenda mikorogo,
ReplyDeleteMtoto kama huyu tzUk ndie alitakiwa ashinde, halafu kingine wivu eti kwa vile tu ni wa Uk.
Anyway umewaonyesha, at least watapunguza hiyo mikorogo wanataka wawe kama huyo mdosi Richa.Keep it up Gladness.
CHA CHANDU-UK
Hizi nguo mmmh, kasheshe
ReplyDeleteANON September 2, 2007 3:31:00 PM EAT wewe unajua nini unaongea lakini miss TZUK ni msichana wakaiwada sio mzuri wakushinda umiss hata hivyo amaepata bahati sana kuingia huko alikuwa chini sana sana ukiangalia na mamiss wengine
ReplyDeleteHiyo ngu ya wakwanza mbona imejaa jaa utazania kavaa ligagulo?
ReplyDeletemmh...jamani huyo gladness wa uk hana lolote magoli ni huyo miss tanga,alistahili kweli kuwa ms tanzania lkn ndio hivyo,nawapa siri unajua hiyo zawadi mshiriki anatakiwa kutoa hela nusu sasa hiyo kamati imempata ridha ndio kaweza kutoa nusu si mnajua tena.hizo dondoo za ndani kabisa ya kamati.msilalamike sana.najua wabongo tumeumia sana.mpaka Hoyce
ReplyDeletejamani hoyce mpaka kalia duu kuna kazi kweli majaji wamefanya vibaya na sio majaji kwa hao majaji si formalities tu ila wakiwa kambini kamati wenyewe pia wanakuwa majaji,licha ya hayo nakutoa hela nusu ya gari sasa mnafikiria wadosi watashindwa.anyways tumeshazoea lundenga na crew wake hawatendi haki kabisa.
ReplyDeleteBY the way, hiyo kamati ya miss Tanzania ni ya maisha-- yaani member wake mpaka wafariki wote au?. It is high time na wengine waiongoze.
ReplyDelete