mdau wa tokyo yuko bongo. na hapa anakula pozi na koc

ha maximo walipogongana kwenye dina la mchana pale kempinski

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. aisee wamependeza, big up maximo lazima twende ghana 2008, lakini michuzi mbona ujatuonyesha hata picha moja ya maximo akiwa kwenye uwanja mpya. tupe vitu bwna uzitubanie.

    ReplyDelete
  2. aisee wamependeza, big up maximo lazima twende ghana 2008. lakini kaka michuzi mbona unatubania ujatuonyesha hata picha moja ya maximo akiwa uwanja mpya siku ya jumamosi. tuonyeshe angalau picha moja basi.

    ReplyDelete
  3. Huyo jamaa avur hiyo t-shirt...amekuwa bango au "grafiti" ya kuwatangazia Waamerika...aache kuwa "cheer leader" wao!

    ReplyDelete
  4. ghana tutaenda inshalaah mwenyezi mungu atatusaidia.ila wewe anony 10:55.mbona inaonekana kama umempenda mtu hapo?fanya makeke

    ReplyDelete
  5. Mikonoooozzzzz........

    ReplyDelete
  6. Sasa huyo mdau Mwanajeshi wa Marekani au? Manake Serengeti ya Maximo tunaifahamu kwenye hizo T-shirt! Jamani tuwe wazalendo!! ehe!

    ReplyDelete
  7. Nyie vipi hamwelewi? Mshikaji yupo US NAVY kwenye base pale Okinawa, yupo bongo likizo acheni ujinga.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...