Home
Unlabelled
mdau wa tokyo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
aisee wamependeza, big up maximo lazima twende ghana 2008, lakini michuzi mbona ujatuonyesha hata picha moja ya maximo akiwa kwenye uwanja mpya. tupe vitu bwna uzitubanie.
ReplyDeleteaisee wamependeza, big up maximo lazima twende ghana 2008. lakini kaka michuzi mbona unatubania ujatuonyesha hata picha moja ya maximo akiwa uwanja mpya siku ya jumamosi. tuonyeshe angalau picha moja basi.
ReplyDeleteHuyo jamaa avur hiyo t-shirt...amekuwa bango au "grafiti" ya kuwatangazia Waamerika...aache kuwa "cheer leader" wao!
ReplyDeleteghana tutaenda inshalaah mwenyezi mungu atatusaidia.ila wewe anony 10:55.mbona inaonekana kama umempenda mtu hapo?fanya makeke
ReplyDeleteMikonoooozzzzz........
ReplyDeleteSasa huyo mdau Mwanajeshi wa Marekani au? Manake Serengeti ya Maximo tunaifahamu kwenye hizo T-shirt! Jamani tuwe wazalendo!! ehe!
ReplyDeleteNyie vipi hamwelewi? Mshikaji yupo US NAVY kwenye base pale Okinawa, yupo bongo likizo acheni ujinga.
ReplyDelete