CLUB AFRIQUE PRESENTS THE AFRICAN STARS BAND(TWANGA PEPETA)WITH THEIR FAMOUS "MUGONGO MUGONGO" STYLE LIVE AT THE FULLY AIR-CONDITIONED VENUE 147 BARKING ROAD E16 4HQ CANNING TOWN TONITE SUNDAY 2/09/07 FROM 7 PM TILL 5AM ENTRANCE FEE: GBP 10.00.

THIS IS THEIR LAST SHOW IN THE UK THAT U CAN'T AFFORD TO MISS.... KARIBU WOTE

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Picha za mashindano ya miss tanzania please !!! ni vema tuone walivaaje kwa ujumla kama ukiweza hata tuwekea video.

    ReplyDelete
  2. MICHUZI NA BEN KISAKA WAKO MNATUCHANGANYA HASA SISI TUNAOWASUBIRI HAO TWANGA HUKU ROTTERDAM.
    HIVI JAMAA WAMEKUJA FULL NONDO AU WANENGUAJI NA RAPPER WAO MMOJA HUKU MUZIKI UKIWA NI KUPIGWA KWENYE CD?
    KWA SABABU KATIKA SHOO ZAO ZOTE ZA UK, SIJAONA MPIGA SOLO AKINA SHAKASHIA, DRUMS, HATA WAIMBAJI SIJAMWOMA HATA MMOJA. SASA TUELEWE VIPI KWAMBA BENDI HII HAINA HAO WACHEZEA MIPINI WAKATI KILA MARA ULIKUWA UKITUONYESHA PICHA ZAO WAKIPIGA KULE BONGO?
    NIMEULIZA KWA SABABU NISIJIMWAGE UWANJANI NA KUWA MATUMAINI YA KUWAONA WACHARAZA MAGITAA KWANI MIMI NDIYO SHETANI WANGU ALIKOLALIA. HAO WANENGUAJI MIMI HAWANITII HOMA WALA MCHECHETO.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...