Home
Unlabelled
twangazzzz
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Wadad wana Matumbo hao BALAA!! Yaani pamoja na mazoezi yote hayo wakiwa jukwaani bado visatchi vimechomoza, sipati picha kama wangekuwa hawako active.
ReplyDeleteHi Twangazzz...Pamoja na visalfet front...vitambiz.... watoto wamependeza na wamekonga sana nyoyo za washkaji wa London... potelea mbali keep it up Babes...
ReplyDeletelagers(beer) is kufanyaring kazi!wapunguze tu lager waanze kunywa konyagi ili ku burn hizo fats coz beer has too much calories
ReplyDeleteMmh!wabongo mmezidi kuponda mmeona maumbo tu mbona hamsemi wapunguze mawowowo au kwa sababu mnayapenda ? wadada wanavutia wapeni sifa zao jamani..Mmh Mashaaaalah
ReplyDeleteBro Michu nimekustukia unafagilia sana London.Mbona hajasema kitu wala kutoa picha yoyote walipokuwa MILTON KEYNES..wakati wenyewe wamekiri onyesho lilifanya " kulikooo"
Wa waaa Twanga mlitukosha ile mbaya next time show muongeze MK
Jamani tuwe wawazi, haya ndio maumbo yanayotuvutia wabongo. Hawa watoto wako bomba kinyama. Keep it up babes, tunawangoja tuvunje jungu pamoja
ReplyDelete