twanga wakipepeta club afrique katika shoo yao ya mwisho ya london jumapili. hivi sasa wako mkao wa kuelekea holland ambako ijumaa hii watafanya shoo ya vunja jungu rotterdam. wadau wa huko kazi kwenu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Wadad wana Matumbo hao BALAA!! Yaani pamoja na mazoezi yote hayo wakiwa jukwaani bado visatchi vimechomoza, sipati picha kama wangekuwa hawako active.

    ReplyDelete
  2. Hi Twangazzz...Pamoja na visalfet front...vitambiz.... watoto wamependeza na wamekonga sana nyoyo za washkaji wa London... potelea mbali keep it up Babes...

    ReplyDelete
  3. lagers(beer) is kufanyaring kazi!wapunguze tu lager waanze kunywa konyagi ili ku burn hizo fats coz beer has too much calories

    ReplyDelete
  4. Mmh!wabongo mmezidi kuponda mmeona maumbo tu mbona hamsemi wapunguze mawowowo au kwa sababu mnayapenda ? wadada wanavutia wapeni sifa zao jamani..Mmh Mashaaaalah

    Bro Michu nimekustukia unafagilia sana London.Mbona hajasema kitu wala kutoa picha yoyote walipokuwa MILTON KEYNES..wakati wenyewe wamekiri onyesho lilifanya " kulikooo"

    Wa waaa Twanga mlitukosha ile mbaya next time show muongeze MK

    ReplyDelete
  5. Jamani tuwe wawazi, haya ndio maumbo yanayotuvutia wabongo. Hawa watoto wako bomba kinyama. Keep it up babes, tunawangoja tuvunje jungu pamoja

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...