Home
Unlabelled
aluta
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
This is serious case! Hata ITV Daima wameonyesha picha ya juu na sio ya chini.
ReplyDeleteSasa inakuwaje huku Two hundres wakati kwa tarakimu tunaona 300?
ReplyDeleteKama kuna mtu kaelewa vizuri nifafanulie au ndio mchanga wa macho?
Wanaita ganja aka ndumu aka mjani aka kaya aka kuku wa zabanga aka weed aka paper laga aka bange n.k
ReplyDeleteMtu na akili zako timamu huwezi andika 300 ukamaanisha 200 kama hujapuliza ze kuku moshi plus gongo baridi...we have to be careful na vitu vinavyomhusu our President...hao Exim wamejishusha though as a human being kukosea kupo...Nipo Houston ila wabongo tupunguze kula nyasi zinatulostisha kwenye issue muhimu za Taifa letu!!!!
Atuombe radhi,rais hawezi kutaniwa kwa kiasi hiki hata kama ni mfano wa hundi!
ReplyDeleteMICHUZI SASA UNABORE SIKU NZIMA PICHA MOJA TU, YANI SIKU HIZI UMEKUWA VERY SLOWLY SIJUI KWA NINI. YANI UNAKUTA TOKA ASBH PICHA MBILI TU AU ZA JANA, ZA LEO MPAKA JIONI TENA MBILIA U TATU.INACHOSHA MAZEE!
ReplyDeletemichuzi mbona hio hundi inachanganya,ni two hundred thousand au 300,000???angalia hio picha ya chini
ReplyDeleteMICHUZI NAOMBA NIWE WA KWANZA KUWATILIZA ROHO WANTANGAYIKA NA WANZANZIBWARI WENZANGU.HII NI PHOTOSHIP ADOBE, WATAALAM TUMEISHTUKIA.INAONEKANA NI CHECK MOJA ILA WALIPOSE FOR PICHA MBILI TOFAUTI.KWELI KUNA WATU WANAOTAKA KUONESHA VIONGOZI WETU HAWAFANYI LOLOTE, NENDA HAPA UTAONA JINSI MTU ALIVYOTUMIA PHOTOSHOP TO ERASE 2 AND PUT THREE....http://www.alnoorcet.co.uk/livedarsah1/image/picaltered.htm
ReplyDeleteNafikiri jamaa wanapinga kwa vitendo kauli iliyotolewa na serikali kwamba haitachunguza tuhuma za ufisadi.Mikataba mingi huwa haisomwi ama mweka saini anakua katika hali ya FURAHA!?? hivyo ana overlook procedures nyingine muhimu ambazo zingemwonesha kosa. Shime serikali chunguzeni tuhuma za ufisadi hii picha inasema hivyo Mr.President.
ReplyDeleteMama,umeliona hili?
ReplyDeleteAah, nimetulia nikasoma caption, nimeelewa kama ifuatavyo
ReplyDeleteMakosa yapo kwa waliondika hizo cheki bandia (mfano wa cheki) Ila maudhui yako sawa, kwa maana kwamba Benki ya dunia itachangia dola laki 3 na CEO round table (haka ni ka institution ka ma CEO) watachangia dola laki 2. Nadhani EXim wamedhamini hiyo hafla ndio maana dummies ziko kama zao. Nadhani nimeeleweka. Waandishi wa thamani kwa maandishi ndo walio chemsha
Hiyo picha ya chini ndio tukio halisi. Picha ya Juu wamefoji baada ya kuona Muungwana kahadhilika.
ReplyDeleteHIvi mbona hawa watasha walioko bongo wanaonekana wamechoka kiana? Huyu mtasha anayempatia cheki rais Kikwete angekuwa kwao nadhani angekuwa choka mbaya. Wakija bongo tunawakumbatia eti wawekezaji, wakati utakuta wana elimu duni, maarifa sifuri wanachofahamu ni kuzungumza king'eng'e tu.
ReplyDeleteDuu! Hii nayo ni kali ya mwaka.
ReplyDeleteYaani utitiri woote wa watu wa Itifaki wote walishindwa kusoma alama za Nyakati?
Kama hako hawara ya fedha imekuwa utata kukapitia kwa umakini,je hayo mavitabu ya mikataba si ndio kupiga dole gumba mahotelin london bila kusoma?
Kwa kweli Exim hata kama ndio mlikuwa mnafanya research kuona kama Serikali ipo makini hapo mmepitiliza.
Inasikitisha sana.
Ene wei tutafika tu
kama inavyoonekana kwenye picha huo ni mfano tu wa check na makosa ya mtu aliyeandika check yenyewe lazima iko kamili.
ReplyDeletekama inavyoonekana kwenye picha huo ni mfano tu wa check na makosa ya mtu aliyeandika check yenyewe lazima iko kamili.
ReplyDeletePhotoshop iyo.
ReplyDeleteBRO MICHU HEBU TUPE UPDATES ZA BRO DITTO KUNA JAMBO KALIFANYA KWENYE KIKAO CHA ZIARA YA MAWAZIRI..NIMEONA KIDOGO KWENYE TZUK.NET
ReplyDeleteHEBU DODOSA UTUPE NYUUUUUUUZZZ
nasikia ditto aliwaambia wananchi wakawaambie wake zao wakalale sio yeye......kweli mzee ana hasira, serikalini kajiuzulu lakin anataka kujibu hoja zake.
ReplyDeleteBuzwagi !
ReplyDeleteHata hiyo two thousand imekosewa..inapaswa kusomeka Two Thousands. Poleni waandishi wa cheki..!!
ReplyDelete