Home
Unlabelled
bar one
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Bar One si mpaka kiwe kiota cha maraha. Waswahili bwana. Kuridhika na vitu vya ajabu ajabu ndio zetu.
ReplyDeleteHee! mnataka kututia dhambini mapeema hata ftari haijakauka tumboni na swaumu zetu hazijapokelewa mmeanza mambo ya baa one hii si kejeli?
ReplyDeleteNinawaalika woote watu hamsini wa kwanza buure...Kinje
ReplyDeleteHii baa iko wapi?
ReplyDeletewee anonymous oct 11 02 11:50:00 kwani hii bar one ni ya waislam tu,we kama umefunga kivyako, kejeli ya nn sasa?mbona unapenda visa wao wamesema iko tayari kama unaona huwezi kaa pembeni waache wanaotaka kujua.ACHA MAMBO YAKO YA UBINAFSI.bar one sio ya dini ni ya wote wapagani wakristo waislamu na wenye dini nyinginezo.IDD NJEMA UFUNGE NA SITA SAWA?
ReplyDeleteiko wapi bar 1
ReplyDeletekinachonimaliza hii baa ukienda saa saba usiku hamna mtu nenda saa tisa utashangaa palivyoshona.
ReplyDelete