baada ya kuwa likizo kwa mwezi mzima kiota cha maraha cha 'bar one' kinafungua milango kwa wateja kuanzia kesho jioni baada ya ukarabati wa nguvu na mitambo mipya ya myuzik

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Bar One si mpaka kiwe kiota cha maraha. Waswahili bwana. Kuridhika na vitu vya ajabu ajabu ndio zetu.

    ReplyDelete
  2. Hee! mnataka kututia dhambini mapeema hata ftari haijakauka tumboni na swaumu zetu hazijapokelewa mmeanza mambo ya baa one hii si kejeli?

    ReplyDelete
  3. Ninawaalika woote watu hamsini wa kwanza buure...Kinje

    ReplyDelete
  4. Hii baa iko wapi?

    ReplyDelete
  5. wee anonymous oct 11 02 11:50:00 kwani hii bar one ni ya waislam tu,we kama umefunga kivyako, kejeli ya nn sasa?mbona unapenda visa wao wamesema iko tayari kama unaona huwezi kaa pembeni waache wanaotaka kujua.ACHA MAMBO YAKO YA UBINAFSI.bar one sio ya dini ni ya wote wapagani wakristo waislamu na wenye dini nyinginezo.IDD NJEMA UFUNGE NA SITA SAWA?

    ReplyDelete
  6. iko wapi bar 1

    ReplyDelete
  7. kinachonimaliza hii baa ukienda saa saba usiku hamna mtu nenda saa tisa utashangaa palivyoshona.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...