Home
Unlabelled
click!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Wewe pia Brother Michuzi Eid Njema!
ReplyDeleteAh kaka Issa wa Michuzi naona umeamua kututega na picha zako hizo duh, haya bwana na mi Nakutakia Eid Mubarakh.
ReplyDeleteWilly
kwa nin sasa umekata picha??sasa naona huyo mainanii wako sio mchezo bora ungejikata wewe huyo ungemuachia...hongera sana kaka michu naona umenunua shati la sikukuu...
ReplyDeleteAsante sana, Mungu awabariki.
ReplyDeleteMichuzi bwana! yaani mi huwa nakushangaa sana. Sasa wewe unafikiri ukituonyesha sura nzima tutakupiku? Na mbona maiwaifu wako amebadilika hapa? Au unao wanne? Maana huyu sidhani kama ndo yule wa kwa watani wetu.
ReplyDeleteasante sana kaka muhidin na pia shukrani zimwendee wifi yangu na pia umefanya la maana kuleta pic ya namna hiyo kwani sisi ndani ya family tunamjua wifi yetu kwa hiyo haina maana kuwapa faida watu wa nje au sio.
ReplyDeletebuhite
masalo, mimi siku wezi huyu maiwaifu wako sio yule jirani etu, umeshapata mwengine mara moja hiii???????????????????
ReplyDeleteIdd mobaraka nawe pia. Nilikuwa sijui kama leo ni idd kwani sie tunaoishi huku vijijini Uingereza hatujui nini kinaendelea.
ReplyDeleteMsalimie wifi yetu
Mama Malaika
my wife wako awe yule yule wa zamani au yule wa kwa jirani zetu lakini mfiche hivyo hivyo ndugu yangu. Wanga wengi mtaani na mfungo ndio huu unaisha na alivyo mzuri hivyo wasije wakaanza kumfuatilia ukiwa kazini.
ReplyDeleteMh ...hii picha ni nusu tu lakini inasema yote. You have a beautiful wife. Sijui kaenda Gym kapendeza na kibody chake.....uwiiiiii
Michuzi naona hiyo "ze mabegaz."
ReplyDelete....its none of my bizness,lakini wewe misupu una wake wangapi,huyu ni tofauti kabisa na yuleeeeeeeeeee!
ReplyDeleteHaya kaka Michuzi, kila siku unatutega tu, nashuku huku Australia sikukuu kama hizi mh, kidogo , ningekuwa home ubwawa mchafu ningekula.Ila maiwife mbona hutaki fron kuview mkuu.Aha , umepata mwingine nini? Haya keep it up chombo hicho baba...Zeze hilo litumie usiku vizuri.litunze
ReplyDeletehiki ki T-shirt Michuzi umefua mara ngapi tangu ukinunue nadhani itakuwa zaidi ya mara mia maana ni ka siku nyingi haka dear
ReplyDelete