irene kiwia, mratibu wa shindano jipya la uanamitindo litalozinduliwa hivi karibuni, akila pozi kabla ya kupasha ni nini yeye akishirikiana na nancy sumary na anti julie urio na kampuni yao ya beautiful tanzania agency wanataka kufanya kabla 2007 haujayoyoma. mambo yote kaweka bayana hapo chini....

FACE OF TANZANIA IN THE MAKING


Face of Tanzania modeling competition, that is set to be launched in the very near future, will be the biggest annual reality TV model search competition that has ever happened in Tanzania.

It will scout for aspiring models in different regions of the country, and select 16 semi finalists who will stay in a model camp for one month. During which they will be tried and tested with model related activities that will lead to a public elimination of 2 girls every week. In the end 10 girls will remain and vie for the title at the grand finale that will be graced with international fashion spectacles and designers.

The Face of Tanzania model camp will be filled with exciting activities. The girls will be taken to the Ngorongoro Crater for a 3 days thrilling tour experience that will include a spectacular photo shoot in the crater.

The theme will support a vital aspect of a young girl’s life, and that is self awareness. We believe that if a young woman is self aware of who she is, what greatness she is capable of and how much she can be in control of her life, she will take initiatives to self develop herself, be cautious of diseases especially HIV/AIDS and other sexual transmitted diseases, steer clear of unplanned pregnancies and instead work towards ambitions that will not only develop and benefit her but also the nation in general.

The 10 finalists will fly to Johannesburg in the Gauteng province in South Africa for a 3 days real life experience of how an international model survives.Not forgetting the real life drama that will spark from the reality of having 16 girls competing for one big title ON TV! This will definitely be the launch of our very own supermodel!

REGIONS TO BE COVERED ARE ARUSHA, MWANZA, KIGOMA, DODOMA, DAR ES SALAAM, MTWARA & MOROGORO.


The Face of Tanzania winner will receive a one year modeling contract with The O model Africa agency based in Joburg SA owned by international supermodel OLUCHI and producer Jan Malan.

INTERESTED??


If you think you have got what it takes to be the first ever Face Of Tanzania, stay tuned to clouds FM and TVT this month to find out when the nearest scouting to you is taking place.
Of course, you are eligible to participate if:
*Your height is above 174 cm (5’9”)
*Your hips are not wider than 92 cm (36”)
*Your waist is not wider than 64 cm (25”)
*Your age is above 18 and below 27
For more info call +255 754 611 213
Or email
info@btagency.co.tz

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. Ohoo, yale yaleeee!!

    Sasa hii ipo wazi kwa waTanzania wote au waTanzania weusi tu? Akitokea toto la kiArabu au la kiHindi lakini mzaliwa wa hapa bongo itakuwaje?

    ReplyDelete
  2. HIVI KWANINI WATANZANIA HATUWEZI KUJA NA KITU ORIGINAL HATA SIKU MOJA?? SASA HAPA MMESHAIGA AMERICA'S NEXT TOP MODEL, LET'S FOR ONCE COME UP WITH SOMETHING THAT WE CAN BE PROUD OF NA SIO KILA SIKU KUIGA TU KUTOKA KWA WENGINE. THERE ARE A LOT OF IDEAS OUT THERE, VITU VYA KURUDIWA RUDIWA VINAKUWA TOO MONOTONOUS VINABOA. SORRY TO SAY THAT ILA NI OPINION YANGU TU. THIS IS JUST LIKE AMNT HAKUNA ANYTHING ORIGINAL.

    ReplyDelete
  3. The last Anony; i understand your point,however; you should remember that sisi ndio kwanza tunaanza, bearing the fact kwamba in USA and Developed world things are overly done. It makes it Hard kwa wanaoanza tu come up with a brand new idea. We angalia hizi Courts Shows( you have Jurge Judy,Mathis,na wengine wengi).Kwa hiyo for anything watafanya kitakuwa what you refer as MONOTONOUS.Labda unge-suggest waweke vionjo vya kibongo bongo but still the general idea will remein to be the same! Mie simjui wala Hanajui but i think let her try her luck halafu wewe create idea yako then protect it under patent right kisha muuzie or akifanya M-SUE.

    pOSitIvITy pleASe!!!

    ReplyDelete
  4. Hiyo mikoa bado haijakamilisha tanzania, kuna watoto bomba sana kama Tanga, Kilimanjaro, Singida na mpaka Bukoba huko, halafu wanasema mshindi atakuwa Tanzania Face sijui nini huko, zungukeni Tanzania nzima acheni utani na kazi za watu!!!

    ReplyDelete
  5. We Anon wa 6:21:00 Stop being negative. Oprah alianzisha Talk Show, lakini angalia leo hii zipo Talk show ngapi? Tyra naye ana Talk Show. Hey Irene na wenzako forget about these people who are negative. Just concentrate with ur thing, I know u ladies hasa huyo Juli Urio I think she knows what she is doing. Huwezi kujua inaweza ikawa maarufu na nzuri kushinda hiyo ya Lundenga iliyotuchagulia mhindi kuwakilisha Tz. Angalia na nyie Beaty Agency msituwekee wahindi humo. Go for it ladies!!

    Mdau mpenda Urembo

    ReplyDelete
  6. jamani mimi ninachoshangaa hapa ni ile kuiga too much
    sasa wewe unachagua sura ya kitanzania halafu unasema
    "your hips not wider than 36"
    "your waist not wider than 25"

    are you kidding me?
    sasa huyu mwanadada mkimchagua mwembamba hivyo halafu mnatarajia awe anavaa nguo za kiafrica kwa ajili ya maonyesha
    who wants to see bones ndani ya nguo za kiafrica
    If we are going to choose our model lets not forget our culture?

    vitu vingine bwana vinakera sana

    mdau
    canada

    ReplyDelete
  7. jamani mimi ninachoshangaa hapa ni ile kuiga too much
    sasa wewe unachagua sura ya kitanzania halafu unasema
    "your hips not wider than 36"
    "your waist not wider than 25"

    are you kidding me?
    sasa huyu mwanadada mkimchagua mwembamba hivyo halafu mnatarajia awe anavaa nguo za kiafrica kwa ajili ya maonyesha
    who wants to see bones ndani ya nguo za kiafrica
    If we are going to choose our model lets not forget our culture?

    vitu vingine bwana vinakera sana

    mdau
    canada

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 06, 2008

    Not sure kama hii mada bado iko wazi...lakini jamani I totally agree na hio issue ya kuchagua face of Tanzania mwenye proportions zisizo za kiafrica. Jamani what are you saying? Kwamba huwezi kua mrembo kama hips zimezidi size hio? Hizo ni standard za westerners, na sisi tunakimbilia tu kuiga. Why cant we show the world kuwa na sisi tunajivunia kuwa waafrica jamani? Hebu na mie niache story niende nikajinyime chakula nipate kupunguza hips zangu 4o"!!

    ReplyDelete
  9. I like the idea,but one thing!~!
    Sijui ni kwanini sisi watanzania tunapenda kuiga!!mimi ni mtanzania nakaa ujerumani,ni photomodel kila compuni wants to work with me.u know why?? kwa sababu nina shape ya Kitanzania, matako kwa sana!!hahah sorry to say so but its the truth.am beautiful,natural black.,sexy, am not slim,normal figure,short 161cm but am photomodel.no one likes mifupa kwenye picha.every time i go for photo shooting everyone is wow nice po!!ooh yes am pure tanzaniani!! so jaribuni kumchagua,mtanzania mwenye sura nzuri,ambaye anauwezo wa kujieleza na kuielezea nchi yake,mwenye good background,nidham.mwenye shape nzuri na sio too slim.someone who can look good,attractive,smart in kanga,kitenge,batik or any Tanzanian style.then everyone will be like wow!!but someone without po!only bones mmh!!doesnt look good in kitenge believe me!!i wish i could be there to try that chance!!
    But am so proud of all of u,its real nice for young people!! real cool!
    Hongereni sana.
    Greetings from Germany!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...