

shime shime wadau richard amewekwa sawa kwa mara ingine tena ili kutolewa bigi braza hauzi. tumsaidie kwa kuwapigia hao tatiana na kwaku ili mdau mwenzetu abaki. maelezo zaidi na namna ya kupiga kura nenda http://www.mnetafrica.com/bigbrother/vote.asp
Issa usihofu. Panga la wiki hii litamfyeka Kwaku. Kwaku ndio the untouchable pekee aliyesalia humo, wenzake kina Lerato, Max, na Bertha sasa hivi wanakula ugali nyumbani kwao. Makuku ya Big Brother wanayodondoseha mate kwenye TV tu.
ReplyDeleteni bora atolewe tu!!hakuna faida yoyote ya haya mashindano...zaid ya huyo Richard kuonyesha nyeti zake hadharani...sasa ni kudhalilisha nchi yetu ambayo kuna watu waliostaarabika sana kama wewe michuzi...kwangu mimi akitolewa ntafurahi sana kwani sikupenda kabisa jamaa kuonyesha mizigo yako wazi wazi..
ReplyDeleteHivi hii show haijaishi tu? Niliangaliaga wakati ule ulivyoweka ilikua so boring. I wonder why they keep it that long. Kuna watu wanaenjoy kweli au kwa vile contract ilishawekwa basi ni lazima iishe.
ReplyDeleteNyie mnaoponda Big Brother hamjalazimishwa kuangalia. Big Brother ina wadau wake jamani, au mnafikiri zile sms zinazotumwa kila siku zinatoka wapi?
ReplyDeleteHuyo Richard bora atoke tu kwani anamdhalilisha na kumnyanyasa kijinsia tu mkewe huku nyumbani!
ReplyDeleteToka!!
WATU WENGINE OVYO KWELI - WANAWEZA KUFANYA CHOCHOTE ILI WAPATE PESA NA UMAARUFU. AIBU SANA KWAO, DHIKI YAO WANAPOIVULIA NGUO
ReplyDeleteRICHARD ANAFANYA VIZURI SANA, NYIE MNAOMPONDA WOTE WASHAMBA TU, HIYO NI SHOW KAMA ZILIVYO SOAPS ZINGINE, MSICHOKIJUA NINI? MMEONA NYUCHI NGAPI? KAMA ANAKUBORE KWANI UMELAZIMISHWA KUANGALIA? MBONA MIJICHO INAKUTOKA? HAMNA LOLOTE, SEMENI ANAWATIA HAM!! NA NGONO ZIPO POTE, MBONA NYIE NDO WATEJA WAZURI PALE OHIO NA KINONDONI? AU KWA VILE YEYE RICHARD CAMERA ZINAMMULIKA? CAMERA ZIKIGEUZIWA HUKU SI TUTATAPIKA? ISITOSHE YEYE MPAKA KWENDA HUKO AMEPATANA NA MKEWE, NYIE WOTE HAPA MNACHONGA TU, ACHENI USHAMBA NDO MANA HATUENDELEI, WANAUME WOTE MALAYA BWANA!! MUACHENI MWENZENU ALE VYAKE, WIVU HUO..GO RICHIE GO!! WE LOVE U..!!! AKIRUDI ATAPOKELEWA KWA SHANGWE ZAIDI YA MWISHO!!
ReplyDelete