Home
Unlabelled
holland
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Eh best nilizania huyo ni mwanao kumbe mdogo wako.. Ni wewe unakua sana au kuna big gap btn...she is cute little gilr take good care of her
ReplyDeleteAHSANTE MDAU KWA SALAM ZAKO ZA HERI
ReplyDeleteNA WEWE NA DA KHALILA TUNAWATAKIA
KILA LA HERI.NAKUMBUKA PALE ULIPOWEKA PICHA YAKO WAKATI 2TH ANNIVESARY YA BLOG YETU HII.WALIKUSHAMBULIA SANA.OOOH VIATU
OOOH KOCHI SI SAFI.OOOH TUNAKUJUA
MASIKINI.JAMANI WATU NA ROHO MBAYA
HAWATOKUBALI KUONA MWENZAO AMETULIA
KIMAWAZO ILA ULIONYESHA USTAARABU
WA HALI YA JUU KUTOKUJIBU UPUUZI
WAO HAPO NILIPOKUONA NI MSTAARABU
WA HALI YA JUU
MWENYEZI MUNGU AKUPE HERI NA AFYA
sasa huu ndio mkao gani kukaa na mtoto! watu wengine bwana...
ReplyDeletejamani samahanini naomba kuuliza hiyo aliovaa ni sketi au, kwani mi inanichangany imeachia saaana
ReplyDeletehuyu ni houseboy haiwezekani huyu akawa ni mdogo wake wa kuzaliwa,au labda anishi kwa wajomba au shangazi kwa hiyo huyo anaweza kuwa binamu.
ReplyDeleteMIKONOOOZZZZZZZZ!!!! Ha la Hala! EID NJEMA pia.
ReplyDeleteDuh huyu mdau anapenda kutokea kwenye blogu kama nini..hujakoma tu kule walivyokupa kwenye raba zako? Naona leo raba umeziacha..LOL
ReplyDeleteKwani,tatizo ni nini hapa?
ReplyDeleteHivi kwani yeye ni nani haswaa kwa mfano mpaka kujitoatoa kwenye blog kila siku??Au ndio kutaka umaarufu kwa nguvu?Ile miraba yako uliona haitoshi sasa unatuletea msketi wako sijui mpensi nyanya.Anyway Idd Mubaraka sheikh
ReplyDeletePendaneni watanzania...hamna aliyekatazwa ku toa picha yake hapo....JAmani kuweni watu wastaharabu for a minute yaani ndiyo maana hatuendelehi kila kitu ni kusagiana tu....Wengine tumeburudika kuona picha hii ya huyu kijana na mtoto...WEwe ambaye hujatoa picha yako unasubiri nini hauna marafiki ambao ungependa kuwatumia salamu za bure? Forum imewekwa bure kwa nini mtu usitumie kama ni interest yako mimi binafsi sajawahi kutoa picha kwenye michuzi na sina ubeef na mtu anayetoa no harm all he is trying to do is reaching out...You don't like it scroll over to the next page...
ReplyDeletehe! nafurahi kukuona, wewe ni best au besta? we sio mdogo wake aisha besta? kama ndio nijulishe basi fasta nna kiu ya rafiki yangu mpendwa.
ReplyDelete