Mdau Best na mdogo wake Khalila ndani ya Holland wanawatakia wadau wote heri na fanaka na tunawapongeza waislam wenzetu wote duniani kwa kumaliza mwezi mtukufu wa Ramadhani kwa usalama,na tunawatakia watu wote Eid njema,naInshallah Mungu atupokelee swaum zetu.
Amin.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. Eh best nilizania huyo ni mwanao kumbe mdogo wako.. Ni wewe unakua sana au kuna big gap btn...she is cute little gilr take good care of her

    ReplyDelete
  2. AHSANTE MDAU KWA SALAM ZAKO ZA HERI
    NA WEWE NA DA KHALILA TUNAWATAKIA
    KILA LA HERI.NAKUMBUKA PALE ULIPOWEKA PICHA YAKO WAKATI 2TH ANNIVESARY YA BLOG YETU HII.WALIKUSHAMBULIA SANA.OOOH VIATU
    OOOH KOCHI SI SAFI.OOOH TUNAKUJUA
    MASIKINI.JAMANI WATU NA ROHO MBAYA
    HAWATOKUBALI KUONA MWENZAO AMETULIA
    KIMAWAZO ILA ULIONYESHA USTAARABU
    WA HALI YA JUU KUTOKUJIBU UPUUZI
    WAO HAPO NILIPOKUONA NI MSTAARABU
    WA HALI YA JUU
    MWENYEZI MUNGU AKUPE HERI NA AFYA

    ReplyDelete
  3. sasa huu ndio mkao gani kukaa na mtoto! watu wengine bwana...

    ReplyDelete
  4. jamani samahanini naomba kuuliza hiyo aliovaa ni sketi au, kwani mi inanichangany imeachia saaana

    ReplyDelete
  5. huyu ni houseboy haiwezekani huyu akawa ni mdogo wake wa kuzaliwa,au labda anishi kwa wajomba au shangazi kwa hiyo huyo anaweza kuwa binamu.

    ReplyDelete
  6. MIKONOOOZZZZZZZZ!!!! Ha la Hala! EID NJEMA pia.

    ReplyDelete
  7. Duh huyu mdau anapenda kutokea kwenye blogu kama nini..hujakoma tu kule walivyokupa kwenye raba zako? Naona leo raba umeziacha..LOL

    ReplyDelete
  8. Kwani,tatizo ni nini hapa?

    ReplyDelete
  9. Hivi kwani yeye ni nani haswaa kwa mfano mpaka kujitoatoa kwenye blog kila siku??Au ndio kutaka umaarufu kwa nguvu?Ile miraba yako uliona haitoshi sasa unatuletea msketi wako sijui mpensi nyanya.Anyway Idd Mubaraka sheikh

    ReplyDelete
  10. Pendaneni watanzania...hamna aliyekatazwa ku toa picha yake hapo....JAmani kuweni watu wastaharabu for a minute yaani ndiyo maana hatuendelehi kila kitu ni kusagiana tu....Wengine tumeburudika kuona picha hii ya huyu kijana na mtoto...WEwe ambaye hujatoa picha yako unasubiri nini hauna marafiki ambao ungependa kuwatumia salamu za bure? Forum imewekwa bure kwa nini mtu usitumie kama ni interest yako mimi binafsi sajawahi kutoa picha kwenye michuzi na sina ubeef na mtu anayetoa no harm all he is trying to do is reaching out...You don't like it scroll over to the next page...

    ReplyDelete
  11. he! nafurahi kukuona, wewe ni best au besta? we sio mdogo wake aisha besta? kama ndio nijulishe basi fasta nna kiu ya rafiki yangu mpendwa.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...