Home
Unlabelled
kp
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
wee masoud, unajua maana ya sarowiwa? atakusarowiwa sasa hivi huyo, shauri zako.
ReplyDeleteLabda tatizo ni kwamba pesa hazitoki, ingawa zinaahidiwa na serikali!
ReplyDeleteKipanya, hata mimi nishachoka kufundisha tatizo hilo lilipo. Labda tutafute mwalimu mwingine!
ReplyDeleteSasa kama mkuu hajui shida ilipo, yuko hapo kwa ajili gani?
Jamaa anauliza tena rangi ya mkaa??
ReplyDeleteWewe kipanya ni geneous sana basi tuu....
ReplyDeleteKP hiyo imetulia. Pia ingeweza kuwa, pesa zinakotoka (wafadhili/donors); katikati (Serikali); zinakotakiwa (wananchi), au unasemaje dear?? Kwa sababu wafadhili hawatoi direct, ni lazima ipitie Hazina kwanza kwa Mzee Mgonja.
ReplyDeleteKUCHELEANA!!!!!!!!!!.........BOSI KUSHANGAA MARA MOJA TU, MNACHELEANA MNO...mtu akitaka rekebisha MNAMZITO, MTU AKITAKA SAWAZISHA, MNAMSEFU, tukitaka WAANIKA WENYE MENO na mifuko mikubwa ZINAKOPOTELEA...mnatuchimba mkwara "LETENI USHAHIDI" WAKATI NYIE NDIO MNA VITENGO KIBAAAAOOO...juzi kuna watu wanaitwaga mabalozi sijui KUNA MMOJA KATOA COMMENT KWENYE HAYAHAYA WAKAITWA WOOOTE KUPEWA BITI sijui vienna kitu gani...ah!...SASA LABDA HAPA MWALIMU AWE PAKA NA SIYO PANYA
ReplyDeleteWanakijiji,
ReplyDeleteKila mara nikiona kikatuni cha huyo mwanafunzi,kimkono chake huwa kiko kichwani na tuvidole katurusha kama inavyoonekana.Hiyo ina maana gani??Hivi huyo mwanafunzi akiongea ndo anapenda kufanya hivyo AU????
anon hapo juu hizo ni pozi za kibishoo,huyo mwanafunzi ni 'bishoo/brazamen' sana inavyoonekana!
ReplyDelete