Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. wee masoud, unajua maana ya sarowiwa? atakusarowiwa sasa hivi huyo, shauri zako.

    ReplyDelete
  2. Labda tatizo ni kwamba pesa hazitoki, ingawa zinaahidiwa na serikali!

    ReplyDelete
  3. Kipanya, hata mimi nishachoka kufundisha tatizo hilo lilipo. Labda tutafute mwalimu mwingine!
    Sasa kama mkuu hajui shida ilipo, yuko hapo kwa ajili gani?

    ReplyDelete
  4. Jamaa anauliza tena rangi ya mkaa??

    ReplyDelete
  5. Wewe kipanya ni geneous sana basi tuu....

    ReplyDelete
  6. KP hiyo imetulia. Pia ingeweza kuwa, pesa zinakotoka (wafadhili/donors); katikati (Serikali); zinakotakiwa (wananchi), au unasemaje dear?? Kwa sababu wafadhili hawatoi direct, ni lazima ipitie Hazina kwanza kwa Mzee Mgonja.

    ReplyDelete
  7. KUCHELEANA!!!!!!!!!!.........BOSI KUSHANGAA MARA MOJA TU, MNACHELEANA MNO...mtu akitaka rekebisha MNAMZITO, MTU AKITAKA SAWAZISHA, MNAMSEFU, tukitaka WAANIKA WENYE MENO na mifuko mikubwa ZINAKOPOTELEA...mnatuchimba mkwara "LETENI USHAHIDI" WAKATI NYIE NDIO MNA VITENGO KIBAAAAOOO...juzi kuna watu wanaitwaga mabalozi sijui KUNA MMOJA KATOA COMMENT KWENYE HAYAHAYA WAKAITWA WOOOTE KUPEWA BITI sijui vienna kitu gani...ah!...SASA LABDA HAPA MWALIMU AWE PAKA NA SIYO PANYA

    ReplyDelete
  8. Wanakijiji,
    Kila mara nikiona kikatuni cha huyo mwanafunzi,kimkono chake huwa kiko kichwani na tuvidole katurusha kama inavyoonekana.Hiyo ina maana gani??Hivi huyo mwanafunzi akiongea ndo anapenda kufanya hivyo AU????

    ReplyDelete
  9. anon hapo juu hizo ni pozi za kibishoo,huyo mwanafunzi ni 'bishoo/brazamen' sana inavyoonekana!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...