siku hizi mikonozzz nimeacha kama unionavyo hapa nikiwa na nancy na dada yake nakaaya katika kupromoti albamu ya malaika ambayo nakaaya anatamba nayo sana hivi sasa. habari zaidi bofya hapa

]

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 17 mpaka sasa

  1. Si unaona bro kuwa ukichili mademu wenyewe ndio wanapapatika kukuwekea mikono.

    Kuna mlami mmoja alisema "If you slow down many things you have been chasing will come to you". Ndio mambo hayo.

    ReplyDelete
  2. Huna lolote bw Michu.. mbona mikono yenyewe inamalizikia kwenye nido zao?

    ReplyDelete
  3. MI SISEMI KITU.MMMH

    ReplyDelete
  4. They are cute hivo vimacho hivo....

    ReplyDelete
  5. HONGERA ZENU AKINA DADA MNAKUJA JUU SAFI SANA

    ReplyDelete
  6. Mmmmm! mikonoz nidoz!!!!!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  7. aaaaahhh hahahahahah,bro michu mikono hiyooooo naiona inagusa chuchu noma noma!!!kwa kweli ni bola uwashike kuliko hivyo ufanyavyo,,...usimind bro
    SEOUL,....

    ReplyDelete
  8. Michuzi unaonekana kama unaogopa vile?

    ReplyDelete
  9. sura nyuri, wimbo "MALAIKA" kafuja...

    ReplyDelete
  10. DADA MWENYE KOFIA NYEUPE NEXT TIME UKIJA US TUAMBIZANE, SIO KIMYA KIMYA.

    ReplyDelete
  11. ISSA ILE PICHA YA JAMAA ANAWANGA NA PAKA MCHANA MBONA HAIPO, WALIKUKABA KOO USIKU NINI MANAAKE ASUBUHI IMEYEYUKA.

    ReplyDelete
  12. Nancy, vipi tena mkoba mwekundu katika hayo mavazi, mhmhmhmhmh....

    ReplyDelete
  13. Hongera wadada,na wewe hapo juu unayesema mkoba mwekundu huna ndebe.Hujui hiyo ni fashion.Wamependeza sana kweli na wanajua kuvaa.Mjitu haijuwi fashion inawaropokea natamani ningeona mnavyovaa.Wachache sana wanajua kuvaa ughaibuni,wengine wajomba na mi aunt tu,kila siku twawaona na vijinzi tu.Hawa wadada wamenifurahisha sana na mavazi yao msiwabeze,mnaona gere.

    ReplyDelete
  14. safi sana michuzi,ramadhani brother,usishike wala kumbatia mwanamke.labda mkeo,nakueshimu sana kwa kitendo ulichofanya.vipi big brother wa tz anaendeleaje?IDD MUBARAKA!

    ReplyDelete
  15. Iiiiiiiii, na wewe anony hapo juu acha kujipendekeza, sasa ndo fasion gani sasa ya kuchanganya mavazi hivyo. Watu wasiseme eti wanaambiwa wana ndebe. Bwana kachemsha huyo Nancy, ndio mavazi mazuri na kapendeza lakini ndo fasion ya nyeusi, nyeupa na nyekundu at the same time. Na wewe ni mcheshaji wa mavazi nini? natamani ningeona ulivyovaa. Nyambafffffffffzzzzzzzzz

    ReplyDelete
  16. Ungeniona si ungepata kizungu zungu,you will never get on my level clothing wise or education wise.Hajachemsha Nancy unamuonea wivu tu.Hujuwi mavazi tuulize sisi wa the lost angels.By the way I got my own clothing line so die hard baby,you will never get on my level.Hujuwi mavazi kaa kimya,sura mbaya,unapeta tu,huna nyimbo ughaibuni.Nyodo nyingi unadahani sikujuwi wewe sura nzito.Nancy humfikii.Kaa utulie

    ReplyDelete
  17. Damn!!! mbona blog hii ingenipita.I am right on time.Ehe nani ansema Nancy kachemsha na begi jekundu.Mdau mpashe nunda wa juu hapo.Nancy anakwenda na wakati na vazi lake hilo lilikuwa kwenye gazeti la mavazi la VOGUE.Mishale ile ya kumechisha ya kizamani hakuna siku hizi.Mdau fuatilia runways za paris.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...