
siku hizi mikonozzz nimeacha kama unionavyo hapa nikiwa na nancy na dada yake nakaaya katika kupromoti albamu ya malaika ambayo nakaaya anatamba nayo sana hivi sasa. habari zaidi bofya hapa
]
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Si unaona bro kuwa ukichili mademu wenyewe ndio wanapapatika kukuwekea mikono.
ReplyDeleteKuna mlami mmoja alisema "If you slow down many things you have been chasing will come to you". Ndio mambo hayo.
Huna lolote bw Michu.. mbona mikono yenyewe inamalizikia kwenye nido zao?
ReplyDeleteMI SISEMI KITU.MMMH
ReplyDeleteThey are cute hivo vimacho hivo....
ReplyDeleteHONGERA ZENU AKINA DADA MNAKUJA JUU SAFI SANA
ReplyDeleteMmmmm! mikonoz nidoz!!!!!!!!!!!!!!!
ReplyDeleteaaaaahhh hahahahahah,bro michu mikono hiyooooo naiona inagusa chuchu noma noma!!!kwa kweli ni bola uwashike kuliko hivyo ufanyavyo,,...usimind bro
ReplyDeleteSEOUL,....
Michuzi unaonekana kama unaogopa vile?
ReplyDeletesura nyuri, wimbo "MALAIKA" kafuja...
ReplyDeleteDADA MWENYE KOFIA NYEUPE NEXT TIME UKIJA US TUAMBIZANE, SIO KIMYA KIMYA.
ReplyDeleteISSA ILE PICHA YA JAMAA ANAWANGA NA PAKA MCHANA MBONA HAIPO, WALIKUKABA KOO USIKU NINI MANAAKE ASUBUHI IMEYEYUKA.
ReplyDeleteNancy, vipi tena mkoba mwekundu katika hayo mavazi, mhmhmhmhmh....
ReplyDeleteHongera wadada,na wewe hapo juu unayesema mkoba mwekundu huna ndebe.Hujui hiyo ni fashion.Wamependeza sana kweli na wanajua kuvaa.Mjitu haijuwi fashion inawaropokea natamani ningeona mnavyovaa.Wachache sana wanajua kuvaa ughaibuni,wengine wajomba na mi aunt tu,kila siku twawaona na vijinzi tu.Hawa wadada wamenifurahisha sana na mavazi yao msiwabeze,mnaona gere.
ReplyDeletesafi sana michuzi,ramadhani brother,usishike wala kumbatia mwanamke.labda mkeo,nakueshimu sana kwa kitendo ulichofanya.vipi big brother wa tz anaendeleaje?IDD MUBARAKA!
ReplyDeleteIiiiiiiii, na wewe anony hapo juu acha kujipendekeza, sasa ndo fasion gani sasa ya kuchanganya mavazi hivyo. Watu wasiseme eti wanaambiwa wana ndebe. Bwana kachemsha huyo Nancy, ndio mavazi mazuri na kapendeza lakini ndo fasion ya nyeusi, nyeupa na nyekundu at the same time. Na wewe ni mcheshaji wa mavazi nini? natamani ningeona ulivyovaa. Nyambafffffffffzzzzzzzzz
ReplyDeleteUngeniona si ungepata kizungu zungu,you will never get on my level clothing wise or education wise.Hajachemsha Nancy unamuonea wivu tu.Hujuwi mavazi tuulize sisi wa the lost angels.By the way I got my own clothing line so die hard baby,you will never get on my level.Hujuwi mavazi kaa kimya,sura mbaya,unapeta tu,huna nyimbo ughaibuni.Nyodo nyingi unadahani sikujuwi wewe sura nzito.Nancy humfikii.Kaa utulie
ReplyDeleteDamn!!! mbona blog hii ingenipita.I am right on time.Ehe nani ansema Nancy kachemsha na begi jekundu.Mdau mpashe nunda wa juu hapo.Nancy anakwenda na wakati na vazi lake hilo lilikuwa kwenye gazeti la mavazi la VOGUE.Mishale ile ya kumechisha ya kizamani hakuna siku hizi.Mdau fuatilia runways za paris.
ReplyDelete