Hi Michuzi,

Kundi zima la Kakola Vibration Sound Band likiongozwa na Mkongwe wa Muziki Commandoo Hamza Kalala, akiwa na kundi zima la akina Joseph Watuguru, Maganga, Gerlad, na wenzao wanapenda kutoa salaam za Idd Mubarak kwa wadau wote waliofunga na wanawatakia sikukuu njema

Ni Sisi

Kakoka Vibration Sound Band
Kahama - Shinyanga

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...