Home
Unlabelled
basi yaishe baba..
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Mzee fala kweli huyo.
ReplyDeleteYaani huyo mwanae kupata huo ushindi wa big bradha ndo keshajiona yeye VIP au.
Watu wa usalama kwenye viwanja vya ndege wana taratibu zao na wamesomea hivyo na wanajua nini cha kufanya, wala hawakuwa na makosa.Sasa anasusa anasusa nini?
Watu wengine mbona wanakuwa wa ajabu hivi?
Michuzi hata kama hutaitoa hii, lakini ndugu zangu tuwe tunaheshimu kazi za watu. Hao walioko hapo kazini wana mafunzo na wanajua kwa nini walifanya hivyo.
Wacheni hizi nyinyi!
Huyo dingi wa watu chizi kama mwanae..
ReplyDeletemnona mnakua mnajibu kama wajinga mzee chizi ndio maana kazaa machizi hamuoni mitoto yake
ReplyDeleteAcheni kuongea kama wajinga tatizo sio mzee tatizo ni wabongo wenyewe tumefanya hii kitu kama big deal,sasa mzee afanyeje si atafurahi pia.Wabongo huwa atukosi cha kuongea hasa kukashifu watu kwani hamjapata nafasi ndio maana mnaongea kama mpo chooni mnaharisha maneno.Nafikili hata kama mngepata nafasi mngechemka kwa mineno bila kufikilia, acheni ujinga ni muda wa kupeana moyo na kupongezana kwa lolote tulifanyalo kama ni zuri unastahili big up.Richard kawa fanyia kweli na kushinda hongera sana maana si rahisi mle ndani nyinyi mnaongea kama chawa wenye hamu na damu ya mtu.mle ndani mnahitaji akili kubwa sana ya kuishi na wakambungu sio mijineno kama hivyo.
ReplyDeleteNa wewe Gangwe pia FALA vilevile.
ReplyDeleteUsichanganye habari hapa wakati ukweli uko wazi na dhahiri kabisa.
Hakuna anaemsema Richard hapa, message katika mtundiko huu ni jinsi baba yake alivyokuwa anataka hadhi/status ambayo hakuistahili.
Hadhi hiyo ina logistics na protocali yake na kwamba hakutakiwa kufosi kuingia humo merely because mtoto wake kashinda big brother.
Kwa maneno mengine kushinda kwa mtoto wake hakumpi yeye automatic status ya kuingia humo ndani bila kufuata taratibu.
Alipaswa aombe kwa upole na ustaarabu wahusika naamini wangemuelewa na sio kufosi.
We Gangwe hilo unahitaji kupelekwa shule ili ulione wakati liko wazi?
Na we FALA vilevile!