edward anafanikiwa kumshawishi baba akaongoze mapokezi ya richard baada ya kususia walinzi walipomkatalia kuingia ndani

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Mzee fala kweli huyo.
    Yaani huyo mwanae kupata huo ushindi wa big bradha ndo keshajiona yeye VIP au.
    Watu wa usalama kwenye viwanja vya ndege wana taratibu zao na wamesomea hivyo na wanajua nini cha kufanya, wala hawakuwa na makosa.Sasa anasusa anasusa nini?
    Watu wengine mbona wanakuwa wa ajabu hivi?
    Michuzi hata kama hutaitoa hii, lakini ndugu zangu tuwe tunaheshimu kazi za watu. Hao walioko hapo kazini wana mafunzo na wanajua kwa nini walifanya hivyo.
    Wacheni hizi nyinyi!

    ReplyDelete
  2. Huyo dingi wa watu chizi kama mwanae..

    ReplyDelete
  3. mnona mnakua mnajibu kama wajinga mzee chizi ndio maana kazaa machizi hamuoni mitoto yake

    ReplyDelete
  4. Acheni kuongea kama wajinga tatizo sio mzee tatizo ni wabongo wenyewe tumefanya hii kitu kama big deal,sasa mzee afanyeje si atafurahi pia.Wabongo huwa atukosi cha kuongea hasa kukashifu watu kwani hamjapata nafasi ndio maana mnaongea kama mpo chooni mnaharisha maneno.Nafikili hata kama mngepata nafasi mngechemka kwa mineno bila kufikilia, acheni ujinga ni muda wa kupeana moyo na kupongezana kwa lolote tulifanyalo kama ni zuri unastahili big up.Richard kawa fanyia kweli na kushinda hongera sana maana si rahisi mle ndani nyinyi mnaongea kama chawa wenye hamu na damu ya mtu.mle ndani mnahitaji akili kubwa sana ya kuishi na wakambungu sio mijineno kama hivyo.

    ReplyDelete
  5. Na wewe Gangwe pia FALA vilevile.
    Usichanganye habari hapa wakati ukweli uko wazi na dhahiri kabisa.
    Hakuna anaemsema Richard hapa, message katika mtundiko huu ni jinsi baba yake alivyokuwa anataka hadhi/status ambayo hakuistahili.
    Hadhi hiyo ina logistics na protocali yake na kwamba hakutakiwa kufosi kuingia humo merely because mtoto wake kashinda big brother.
    Kwa maneno mengine kushinda kwa mtoto wake hakumpi yeye automatic status ya kuingia humo ndani bila kufuata taratibu.
    Alipaswa aombe kwa upole na ustaarabu wahusika naamini wangemuelewa na sio kufosi.
    We Gangwe hilo unahitaji kupelekwa shule ili ulione wakati liko wazi?
    Na we FALA vilevile!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...