
mdau steve wa newala (pili,shoto) akiwa na mmiliki wa zamani wa BET owner Bob Johnson (shoto) mcheza sinema nyota wa hollywood chris tucker (pili, kulia) na mdau mwingine. hawa ni baadhi ya wadau ambao wanatarajiwa kuhudhuria mkutano wa sullivan hapa a-taun mwezi juni mwakani. kuhusu mkutano huo na mambo mengine nenda http://www.thesullivansummit.go.tz/ pamoja na www.thesullivanfoundation.org


Eeh bwana mbona simwoni huyo Steve?
ReplyDelete