polisi wa wenzetu hutangaza huduma zaao namna hii

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. hiyo ndio tofauti ya bongo na nji zenye akili michu, vitu vidogo vidogo lakini vinakaunti kwenye daily life...askari wa bongo mwizi kuliko mwizi mwenyewe..

    ReplyDelete
  2. hivi mmeangalia hiyo picha kwa kina? hii picha ina kichekesho kama ukiangalia vizuri (bonyeza kwenye picha ili upate kopi kubwa) - mwangalie kwa makini huyo kopu dume :)

    ReplyDelete
  3. Aisee Kaka Michu,We ni mtaalamu wa KAMERA,Ukidodosa kwa ukaribu hiyo Picha,Mbona Hilo Bomba La Moshi limekaa 'PABAYA!!!',kunausalama kweli hapo??
    mambo ya London hayo!
    haux.

    ReplyDelete
  4. Michuzi.Umeona lakini hilo bomba la moshi limekaa sehemu gani kwenye hiyo picha ya afisa wa kiume? Nafikiri hawakufikiria "positioning" wakati wanatuma tangazo.

    ReplyDelete
  5. hii inaonyesha ata wazungu wana fanya makosa, binadamu si pafecti. ingekuwa tanzania, helo zote mfukoni na painti gari mbili tu za kuonyesha wagini.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...