Home
Unlabelled
hampshire
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
hiyo ndio tofauti ya bongo na nji zenye akili michu, vitu vidogo vidogo lakini vinakaunti kwenye daily life...askari wa bongo mwizi kuliko mwizi mwenyewe..
ReplyDeletehivi mmeangalia hiyo picha kwa kina? hii picha ina kichekesho kama ukiangalia vizuri (bonyeza kwenye picha ili upate kopi kubwa) - mwangalie kwa makini huyo kopu dume :)
ReplyDeleteAisee Kaka Michu,We ni mtaalamu wa KAMERA,Ukidodosa kwa ukaribu hiyo Picha,Mbona Hilo Bomba La Moshi limekaa 'PABAYA!!!',kunausalama kweli hapo??
ReplyDeletemambo ya London hayo!
haux.
Michuzi.Umeona lakini hilo bomba la moshi limekaa sehemu gani kwenye hiyo picha ya afisa wa kiume? Nafikiri hawakufikiria "positioning" wakati wanatuma tangazo.
ReplyDeletehii inaonyesha ata wazungu wana fanya makosa, binadamu si pafecti. ingekuwa tanzania, helo zote mfukoni na painti gari mbili tu za kuonyesha wagini.
ReplyDelete