Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 19 mpaka sasa

  1. nakuona lilian mwasha..our former head girl st.mary's high school..

    ReplyDelete
  2. Mdau Michuziz nilijiumiza goti wakati namwaangalia mai waifu wako, kwa sababu mambo poa kishenzi, tumefurahiiiiiiiiiiiii, ha! ha! ha! ha! Ha1

    ReplyDelete
  3. Demu wa kawaida sana Michuzi tena naweza sema umelamba garasha. Usijione sana.

    ReplyDelete
  4. Mkono'z uko wapi Michuzi

    ReplyDelete
  5. SAWA MICHUZI SISI TWACHEAKA TUU

    ReplyDelete
  6. woww! safii mmetoka mbayaa mependeza kaka michuzi hapo na dada lilian

    ReplyDelete
  7. kweli kaka na idumu ngurdoto mana kwa style hiyo ya kuchomwa na hicho kifua cha huyo mwanadada kwa kweli ngurdoto idumu zaidi. Huyo mdada alikuwa girl friend wangu enzi zile kule kwenye mambo yetu, ananijua sana

    ReplyDelete
  8. michu mbona sioni mkono wa kushoto?au siku hizi ndo una ''mikonooozisha'' kwa nyuma waosha vinywa wasione?michu naomba picha za maeneo kama Usa river, soko la kilombero, tengeru,soko kuu na mitaa ya uhuru road, naimiss sana the a massive, aka hiphop home,hujawaona kina andrew msechu na kundi zima la watengwa,hardcore unity,na wakali wengine wa huko?umeionaje a town?noma!huko ndo duniani bwana, mimi kwa arusha mimi hoi kabisa, huko mahali ni noma challii angu, hi to isaria,haroon,ema big,ema minja,wote makamanda wa atown!sana tu michu!Pj hapa

    ReplyDelete
  9. michuzi bwana!usione chaka!ehee huyonae n i nanii?maana a town kwa totoz nao wamo?tijulishe tijaribu bahati, a town kama kwetu ''ushoto''

    ReplyDelete
  10. kwenda zako huko wewe sijui lakuchumpa, mi sikujui na sikuwa na boyfrendi mimi shule,mbona watu mnapenda sifa sana?bf wangu ni huyuhuyu toka long time, na unikome ukomage!janaume jongo!utajasutwa babu wee!

    ReplyDelete
  11. KAKA ANGALIA A TOWN HUUZI SURA KAKA PESA TUU, ZITAISHA MWISHOWE UHONGE CAMERA BULOGU YETU NDIO BYE BYE ..he hehehehehe

    ReplyDelete
  12. Issa Picha nzuri LAKINIIIIIIII MIKONOOOOOZI principle not observrd hahaha !

    ReplyDelete
  13. Aah! wangu we wa kumake Maplan.......looking super fabolous. Wenye kuchonga na wachonge tu ila ukweli ndio huo. Dada amependeza.

    ReplyDelete
  14. michuzi nawe acha ushamba sasa kujitutumua kifua hapo ndio nini?usifiwe au?

    ReplyDelete
  15. HUYO DADA NI MTUSI NINI MAANA ANA
    UMBO LA KITUSI YANI PUA NA UREFU
    NA RANGI YAKE PIA USO WAKE WAPENDEZA JAMANI AFRIKA KUNA VISU
    WE ACHA BWANA

    ReplyDelete
  16. ISSA TUNAELEWA WEWE KWA UREFU UNAJITAHIDI MAALIM..SI HABA..FUTI NGAPI VILE?

    ReplyDelete
  17. All the way from RSA to ARS....... From Machupaz to Michuziz.... From Kelvin Court to Ngurudoto..... mi staki! aliesema wa kumake plane hajatania... My Girl u look Stunning as Ever!!! Maisha yenyewe ndio hayaapa! y not live to da Fullest! ila umenisahau wangu mwenyewe Producer wako...hhahaha! naona ushakomaa mwanafunzi wangu.. Njoo nikupe Platinum Medal Kwanza!

    ReplyDelete
  18. Jamani Lilian Mwasha......... you look good as usual. Miss you Headgirl!!!!

    ReplyDelete
  19. Mjomba chuzz unahatari,naona mzee mwenzangu unayasikilizia balkone,compl...bonge la mtoto chuzz kama ana sister nitumie address,

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...