Home
Unlabelled
idumu ngurdoto
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
nakuona lilian mwasha..our former head girl st.mary's high school..
ReplyDeleteMdau Michuziz nilijiumiza goti wakati namwaangalia mai waifu wako, kwa sababu mambo poa kishenzi, tumefurahiiiiiiiiiiiii, ha! ha! ha! ha! Ha1
ReplyDeleteDemu wa kawaida sana Michuzi tena naweza sema umelamba garasha. Usijione sana.
ReplyDeleteMkono'z uko wapi Michuzi
ReplyDeleteSAWA MICHUZI SISI TWACHEAKA TUU
ReplyDeletewoww! safii mmetoka mbayaa mependeza kaka michuzi hapo na dada lilian
ReplyDeletekweli kaka na idumu ngurdoto mana kwa style hiyo ya kuchomwa na hicho kifua cha huyo mwanadada kwa kweli ngurdoto idumu zaidi. Huyo mdada alikuwa girl friend wangu enzi zile kule kwenye mambo yetu, ananijua sana
ReplyDeletemichu mbona sioni mkono wa kushoto?au siku hizi ndo una ''mikonooozisha'' kwa nyuma waosha vinywa wasione?michu naomba picha za maeneo kama Usa river, soko la kilombero, tengeru,soko kuu na mitaa ya uhuru road, naimiss sana the a massive, aka hiphop home,hujawaona kina andrew msechu na kundi zima la watengwa,hardcore unity,na wakali wengine wa huko?umeionaje a town?noma!huko ndo duniani bwana, mimi kwa arusha mimi hoi kabisa, huko mahali ni noma challii angu, hi to isaria,haroon,ema big,ema minja,wote makamanda wa atown!sana tu michu!Pj hapa
ReplyDeletemichuzi bwana!usione chaka!ehee huyonae n i nanii?maana a town kwa totoz nao wamo?tijulishe tijaribu bahati, a town kama kwetu ''ushoto''
ReplyDeletekwenda zako huko wewe sijui lakuchumpa, mi sikujui na sikuwa na boyfrendi mimi shule,mbona watu mnapenda sifa sana?bf wangu ni huyuhuyu toka long time, na unikome ukomage!janaume jongo!utajasutwa babu wee!
ReplyDeleteKAKA ANGALIA A TOWN HUUZI SURA KAKA PESA TUU, ZITAISHA MWISHOWE UHONGE CAMERA BULOGU YETU NDIO BYE BYE ..he hehehehehe
ReplyDeleteIssa Picha nzuri LAKINIIIIIIII MIKONOOOOOZI principle not observrd hahaha !
ReplyDeleteAah! wangu we wa kumake Maplan.......looking super fabolous. Wenye kuchonga na wachonge tu ila ukweli ndio huo. Dada amependeza.
ReplyDeletemichuzi nawe acha ushamba sasa kujitutumua kifua hapo ndio nini?usifiwe au?
ReplyDeleteHUYO DADA NI MTUSI NINI MAANA ANA
ReplyDeleteUMBO LA KITUSI YANI PUA NA UREFU
NA RANGI YAKE PIA USO WAKE WAPENDEZA JAMANI AFRIKA KUNA VISU
WE ACHA BWANA
ISSA TUNAELEWA WEWE KWA UREFU UNAJITAHIDI MAALIM..SI HABA..FUTI NGAPI VILE?
ReplyDeleteAll the way from RSA to ARS....... From Machupaz to Michuziz.... From Kelvin Court to Ngurudoto..... mi staki! aliesema wa kumake plane hajatania... My Girl u look Stunning as Ever!!! Maisha yenyewe ndio hayaapa! y not live to da Fullest! ila umenisahau wangu mwenyewe Producer wako...hhahaha! naona ushakomaa mwanafunzi wangu.. Njoo nikupe Platinum Medal Kwanza!
ReplyDeleteJamani Lilian Mwasha......... you look good as usual. Miss you Headgirl!!!!
ReplyDeleteMjomba chuzz unahatari,naona mzee mwenzangu unayasikilizia balkone,compl...bonge la mtoto chuzz kama ana sister nitumie address,
ReplyDelete