Home
Unlabelled
jina jipya
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Haya baba!
ReplyDeleteHe Michuzi kisa gani kumwanga kiinglish kikali hivyo kwa dada Chemi? We Michuzi unawadanganya vijana wa bongo waamini wewe ulikwepa umande kumbe mmmh big up bro, uko juu
ReplyDeleteSi tu kwa kiinglish ila kwa jinsi ulivyojibu kiitifaki, kumbe wewe ukiguswa unagusika?
Sisi wamwaga sumu tulikuwa hatukujui ila sasa umetuosha vinywa mwaaaaaaaaaaa
Jamani Tanzania tuache upumbavu, hivi Mkapa kupewa hili jina wananchi walishirikishwa kutoa maoni yao? Mkapa ametusaidia nini zaidi ya kuiba pesa zetu?
ReplyDeleteJengo zuri la kisasa, lakini kuliita Mkapa ndiyo wamekosea.
ReplyDeletejumba hilo la mkapa ? sheria ya kutoshitakiwa laziam raisi aibe .
ReplyDeleteKuna Logic gani ya kutoa majina ya majengo au barabara kwa watawala hata kama walikuwa mafisadi na wabadhirifu wa mali ya umma?.
ReplyDeleteHata Mahtamah Gandhi nae "ana barabara" wakati inajulikana alikuwa mbagusi mkubwa!
Mbona watu mnaongea km hamuijui nchi yenu, kwani hamjui hii nchi ni ya viongozi???!!!! na hiyo ni trela tu muvi lenyewe linakuja...subirini.
ReplyDeleteUKweli ni kwamba kijana Mkapa alitaka kuiita TZ Mkapaland ama Kambarage mwaka 2000, lakini advisers wakamuonya na hilo ndilo muvi lenyewe. Cha kushangaza naona kina Kikwete mpaka leo hii bado wanambeza huyu mwizi, eti baada ya kumfunga wao wanamtukuza kwa nini?
ReplyDelete