
enzi zetu za utozi ilikuwa kila likizo mambo yote huwa ni kwenda bichi kufanya pikiniki ambapo kila kitongozji kilikuwa na umoja wake wa vijana na kundi la kimamba fresh ndilo lilikuwa linaongoza kwa vijana kuchangishana na kusherehekea kutwa mzima mchangani kwa muziki na vilaji. pichani ni baadhi ya wana kimamba fresh wakila pozi msasani bichi. chindakta upooo?


Kunajamaa anaitwa Denis anatokea Nigeria na sasa yuko UK, anawatafuta rafikizake ALLAN KUZILWA na STEPHEN SHELUKINDO anaomba msaidie kupata anuani za hao watu, hivyo basi tunaomba tusaidie kuweka hii katika blog yako ili yeyote yule anaye jua walipo awaombe wawasiliane na huyu jamaa namba yake ni 07723922681. Anasema hawa watu anahitaji saana kuwasiliana nao na aliishi nao Nigeria, inaonekana walikuwa katika balozi yetu ya Tanzania pale miaka hiyo.
ReplyDeleteTafadhali saana tusaidie kaka michuzi, jamaa anahitaji saana kuwasiliana nao
Kha! nz krimplin, Afro, na kinadaa enzi hizo dawa za nywele hakuna wala swiming costume za nguoni jamani tumetoka mbali?? halafu wote mnaonekana wabantu asilia maana hata mikorogo haikuwepo sana na pua pana za kibantu mlipendeza lakini. ilibidi nitoe macho sana kugundu michu ni yupi
ReplyDeletemichu huyu mwenye light blue shirt ni wewe? mmh! mikonozz ulianza zamani bro
ReplyDeletepicha nyingine zaweza zua zongo kwenye nyumba za watu
ReplyDeleteHapo ni Msasani Mikoroshini. Kuna wakati na enzi wanaopajua mahali hap watakumbuka mbali sana. walioiua timu ya Pazi watapata laana. Pazi Basketball Team (PBC) imeuawa na "wawekezaji" sisemi zaidi.
ReplyDeletemichu nauhakika wa wani handredi pasenti mtu mwenye shati la lait blu ni wewe bila kubisha
ReplyDeletemichu kumbe wewe ni mtoto wa mjini,mimi nilifikiri we mtu wa kuja na train
ReplyDeleteMbona mumenuna jamani au mulikuwa mwaogopa mgambo.....?
ReplyDelete