wengi tumesikia kwamba bongo imetoa bonge la komesho kwenye cnn lakini hatujawahi kuliona. basi mdau wetu wa newala ametutatulia kitendawili hicho. basi nenda http://www.tzcommoncents.com/ uone vimbwanga hivyo...
Home
Unlabelled
komesho
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


Kweli Tanzania bado sana.Yaani komesho ndio inakuwa habari kabisa?Duh..Wakenya wana haki ya kutucheka aisee.
ReplyDeleteSi sawa kuwa waKenya wana haki ya kutucheka!Huko kwao kuna mengi ya kucheka,niamini.Kila nchi imepitia haya tunayopitia kwa kiwango chake.Hata sisi kama wengine tutafika tu.Mambo mazuri hayataki papara.Muhimu tuyafanye wenyewe sio kufanyiwe na wageni.Hongera sana kwa aliyetoa hiyo 'komesho'.
ReplyDeleteMimi nafikiri kutokana na muda isingewezekana kuweka kila kitu, kumbukeni hiyo ni tv commercial unapewa sekunde kadhaa na nafikiri hiyo ni ya sekunde sasa angeweka nini? Lakini hata hivyo inategemea alikuwa anawalenga kina nani kama ni watalii basi amejitahidi sana kuna vitu vyote vya muhimu kwa utalii kama animal migration ya serengeti, mlima kilimanjaro, beaches, hasa Zanzibar ambayo ina super beaches, kuna ngoma kwa ajili ya cultural tourism. Nampongeza sana huyo aliyetengeneza hiyo commercial, kama mtu ana uwezo wa kutengeneza na yeye atengeneze apeleke BBC akalipie au hata huko CNN, ABC na kwingineko, sio kusagia kazi za wenzenu wakati efforts zenu hatuzioni. Wewe unayeona ni baya umeshafanya nini kuitangaza nchi yako, kuna wengine huku hata kiswahili wanaona aibu kuongea, na akukisikia unaongea kiswahili anajifanya hakijui, mtu kwao japo porini. Mkataa kwao mtumwa!!
ReplyDeleteNaomba mlio bongo mwambieni Waziri Magembe kuwafukuza wazungu kwenye secta ya utalii ni ukihiyo plus umugabe ambao utatuletea long term effect.Afikirie sana kabla hajafanya hivyo.
ReplyDelete